bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
- Thread starter
- #21
Sasa kwenye menu yangu 15000 kimewekwa wiki badala mwezi...wanacheza sana hawa tigo...yaani kuanzia leo line yangu ya tigo itakuwa napokea simu tu...bassss ...wamevikosa visenti vyangu vya kuchangachanga...