Bye bye rahatupu

bora tu hilo jukwaa lenu lifungwe kabisa manaake kila siku naomba aceess mnanibania

Mpm invisible fasta before baba Rizy hajasaini maana mjengoni sheria imepita
 
Ni kama wanavyojua kuwa flani ana bangi ndani!!

Inawezekana kuna mtu aka wainform
Au Wewe umenitumia mimi porn bila kukuomba,naenda kukushtaki polisi

Wao wanakuja kukudaka!!
Ukiharibu ushahidi nalo ni kosa!!

Such a mediocre way of conducting things, the police's, that is. Bado wanategemea whistleblowers, informers na snitches kwenye cybercrimes??

And that was my point, hawana jinsi ya kukamata illegal activities WhatsApp kwa kutumia mifumo ya computer.

Halafu, nawewe kwanini ufanye crime kipuuzi hivyo kiasi cha kuruhusu iwe directly traced to you, usiwape hata shida kidogo??
 

Afadhali!!

Ila shida ni kuwa mijamaa ikipigwa kibuti inatoa zile hizo picha Na video kwa Nancy!!

So atadanganya wamekubaliana kumbe uwongo!!

Victim akienda polisi,Nancy Na mtumaji wote jela!!!!
 
Kwa mfano juma akamrecord Jane then akasambaza whatsapp, Jane akienda kushtaki, juma Na wote walopokea basi wamevunja sheria
 
ulimuomba nani access??

Inawezekana ulikosea mkuu. Do not blame!
Jodoki Kalimilo nae inawezekana alimuomba access member mwenzie!:lol:.. ongeeni na Invisible wakuu!
Mkuu Excel kimsingi silaumu ila nilikumbuka baada ya hiyo comment ya huyo jamaa, hata hivyo nilimuomba access Invisible ilikuwa 25th March 2014 saa 17.22 subject: Jukwaa la wakubwa, unless kama unapoomba tunatakiwa tuandike subject maalumu kama vile sehemu zingine unaambiwa" in your reply/writig please quote.......in subject line"
 
Last edited by a moderator:
Daaaaaa mambo gani haya ya kunyimana mautamu kunoga.
 
Afadhali!!

Ila shida ni kuwa mijamaa ikipigwa kibuti inatoa zile hizo picha Na video kwa Nancy!!

So atadanganya wamekubaliana kumbe uwongo!!

Victim akienda polisi,Nancy Na mtumaji wote jela!!!!

Hahahahaa, hamna mtu na akili yake ataweka video ya nude akaonesha na sura. Nancy huwa anaficha sura ispokuwa kwa video zilizo tayari viral. Sasa kuna mtu ataibuka na kufile complaint ya kudhalilishwa wakati video inaonesha kibamia tu ata[ata wakati mgumu kuthibitisha kwamba hiko kibamia kinachoonekana ni chake kweli!
 
tehteh....mambo ya real amateur...
 
mie nataka niwe wakwanza kukamatwa endapo watafanikiwa ntakuja kutoa ushuhuda kuwa Tanzania Ya Sasa Siyo Ya Miaka Ile
 
Sio huko tu, hata humu JF. Hata mod akiedit title ya thread yako, kwa sheria hii anakuwa 'amekuingilia', na anastahili adhabu kali kutoka mahakamani.

Ha Ha Ha Invisible Inamuhusu Hapa
 
Last edited by a moderator:
Teh teh mie nasema ipitishwe wakati jukwaa la kikubwa nalipendaga...lol
 
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!

Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog

No bongo certification tena!!

Watoto mliozaliwa kipindi cha rahatupu mnashida sana. Ushawahi isikia the utamu the dudu
 
Mmmh wanampango wakuifanya nchi kua Seminari naona...
 
Kwa mfano juma akamrecord Jane then akasambaza whatsapp, Jane akienda kushtaki, juma Na wote walopokea basi wamevunja sheria

Tuliopokeaa???basi tutakamatwa woteeee aisee uzuri wa hii nchi ni ya kiholela
 
Kunyimana raha tu. Wao wanafanya sie kuangalia tu kosa. Waache roho mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…