macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,192
- 60,084
Hahaa. Bado una hasira! Mlidhani CHADEMA inakufa kumbe ndiyo raia wanazidi kuichangia. Zile zama za mwenyekiti kukopesha chama haziko tena.Kiukweli tumekua na kundi kubwa sana la wajuaji waliojawa na upumbavu mwingi.
Unatofautisha vip kukatika Kwa umeme na mgao?Hakuna mgao. Usichanganye umeme kukatika na mgao. Wewe uko wapi huko kuna mgao wa umeme?
Sahihi kabisa. Hakuna manufaa yoyote zaidi ya gharama za umeme kupanda juu. Sema Hii jamiiforum imejaa vilaza wengiYuko sahihi anauliza limeishia wapi.
Unafuu wa umeme tulioahidiwa kabla ya huu mradi kama wananchi tumepata?
Kuwa sensible kidogo mkuu
Kama hujui tofauti ya mgao wa umeme na umeme kukatika naomba tuishie hapa.Unatofautisha vip kukatika Kwa umeme na mgao?
Humsikii Tanesco wanasema saiv kiangazi Kuna mgao
Mgao upoKama hujui tofauti ya mgao wa umeme na umeme kukatika naomba tuishie hapa.
Okay.Mgao upo
Umeme unakatika mno
Shida ya umeme ni kubwa
Umeme ni ghali sana kuanzia kuunganisha hadi kununua
Sasa unasemaje hakuna shida au uhaba wa umeme
Huyo jamaa wa hovyo sana anataka tusifie mradi ambao tuliambiwa mambo ya kukatika umeme na mgao tusahau.Sahihi kabisa. Hakuna manufaa yoyote zaidi ya gharama za umeme kupanda juu. Sema Hii jamiiforum imejaa vilaza wengi
Una maana gani kusema bwawa limeishia wapi? Unaishi nchi gani? Hata kama hamuipendi serikali jaribuni kuwa sensible kidogo.
Pengine wewe ndiye huna hoja. Mara hii mmeshasahu ''sifa'' za hilo bwawa zilivyokuwa zinaimbwa? Au mpaka tukuwekee thread na hotuba za kipindi hicho? Wanaouliza wana hoja acha kujitoa ufahamu.Huna hoja.
Tuliambiwa likikamilika Umeme utakuwa wa kumwaga, bei chee, tutauza hadi Kenya na Rwanda na Uganda. Nadhani unatakiwa Mujibu haya maswala
Pengine wewe ndiye huna hoja. Mara hii mmeshasahu ''sifa'' za hilo bwawa zilivyokuwa zinaimbwa? Au mpaka tukuwekee thread na hotuba za kipindi hicho? Wanaouliza wana hoja acha kujitoa ufahamu.
Kiukweli tumekua na kundi kubwa sana la wajuaji waliojawa na upumbavu mwingi.
Unatofautisha vip kukatika Kwa umeme na mgao?
Humsikii Tanesco wanasema saiv kiangazi Kuna mgao
Okay.
Sawa.Pengine wewe ndiye huna hoja. Mara hii mmeshasahu ''sifa'' za hilo bwawa zilivyokuwa zinaimbwa? Au mpaka tukuwekee thread na hotuba za kipindi hicho? Wanaouliza wana hoja acha kujitoa ufahamu.
Nashukuru sana kwa kukubali. Wakati wanaanza kujenga bwawa kulikuwa na ahadi nyingi ambazo hazionekana sasa hivi baada ya kukamilika.Sawa.
Huu uzi umekuonesha kuwa wewe ni box tupuHuna hoja.
Sawa.Huu uzi umekuonesha kuwa wewe ni box tupu