englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Huyu atakuwa arsenal lazma, lol!
......hahhaha, huo ni ujumbe tosha kwa bi harusi kwamba anapendwa mpira kwanza, mahaba niue uzeeni!
Ajiandae kunyang'anywa "rimoti" asiangalie Isidingo ila bwana aangalie premier league, UEFA, carling cup, Europa, World Cup, La liga na mazaga zaga mengine ya kimpira 24/7.....
Cc King'asti nawe ulivyomshabiki wa kuangalia sijui #DaysOfOurLives sijui #MariaClara , kununua Tv nyingine ndogo ya chumbani inahusu ktk ndoa hizi!
#MosKwito !
Hahaha.....Kwamba ndio mabingwa wa mbwembwe sio...!!!