Bwana harusi naye

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
article-2635143-1E105A1A00000578-815_640x470.jpg
 
......hahhaha, huo ni ujumbe tosha kwa bi harusi kwamba anapendwa mpira kwanza, mahaba niue uzeeni!

Ajiandae kunyang'anywa "rimoti" asiangalie Isidingo ila bwana aangalie premier league, UEFA, carling cup, Europa, World Cup, La liga na mazaga zaga mengine ya kimpira 24/7.....

Cc King'asti nawe ulivyomshabiki wa kuangalia sijui #DaysOfOurLives sijui #MariaClara , kununua Tv nyingine ndogo ya chumbani inahusu ktk ndoa hizi!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
hii kitu huitwa kimuhemuhe cha harusi,hapo akipelekwa kwenye 6*6 utakuta anaomba hafutaimu kinomaa

  • :der:
 
solution to a good marriage is two tvs, lol. mie naangalia chelsea na yeye aangalie mechi ya yanga.
......hahhaha, huo ni ujumbe tosha kwa bi harusi kwamba anapendwa mpira kwanza, mahaba niue uzeeni!

Ajiandae kunyang'anywa "rimoti" asiangalie Isidingo ila bwana aangalie premier league, UEFA, carling cup, Europa, World Cup, La liga na mazaga zaga mengine ya kimpira 24/7.....

Cc King'asti nawe ulivyomshabiki wa kuangalia sijui #DaysOfOurLives sijui #MariaClara , kununua Tv nyingine ndogo ya chumbani inahusu ktk ndoa hizi!

#MosKwito !
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hapana, sio mabingwa wa lolote. ila ni wanaume wavumilivu sana na wanafaa kwenye ndoa. manake arsenal wamefukuzia kombe miaka 9 etii, unaweza kufukuzia kipusa decade nzima?:):)
Hahaha.....Kwamba ndio mabingwa wa mbwembwe sio...!!!
 
Back
Top Bottom