Bwana harusi hoi

Bwana harusi hoi

Kwa hali ya bwana harusi, hiyo harusi itakuwa imefungwa tuu lakini haijakamilika, ili harusi ikamilike, lazima kutokee kitu kinachoitwa 'consummation', bila harusi kuwa consummated, hiyo inakuwa ni voidable hadi ikamilishwe!, kwa hali aliyonayo bwana hurusi, anaonekana wazi, hataweza kui consummate ndoa yake!.

Pasco
 
Wedding-Photo-Fails-390x250.jpg

utafiti, MO11 usije kufanya hivi tafadhali....

Kwa wadhungu hiyo ni simpol wala haina shaka ni mzego wake wa halali
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ya bwana harusi, hiyo harusi itakuwa imefungwa tuu lakini haijakamilika, ili harusi ikamilike, lazima kutokee kitu kinachoitwa 'consummation', bila harusi kuwa consummated, hiyo inakuwa ni voidable hadi ikamilishwe!, kwa hali aliyonayo bwana hurusi, anaonekana wazi, hataweza kui consummate ndoa yake!.

Pasco

sasa hapo kaka Pasco jamaa anuvutia kasi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom