Bwana harusi hoi

Bwana harusi hoi

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Wedding-Photo-Fails-390x250.jpg

utafiti, MO11 usije kufanya hivi tafadhali....
 
Last edited by a moderator:
Hiyo inaashiria hatari inayomkabili huyo bi harusi lol.. Kama hazbandi kalewa na kudondosha gari siku yake ya harusi, itakuwaje huko mbele ya maisha..?
 
Nyie hapo juu Honey Faith, MO11 na kabanga aise siku ya kwanza ukilewa hivyo hata mpambe wako atakuwa ndo bwana harusi na wewe bwana harusi utakuw ampambe
Siku ya harusi nilikunywa maji tuu ili kuweka mwili sawa kwa kazi iliyo mbele
Huyo labda utafiti aise
 
Ni wewe hapo utafiti hatumii kilevyi chochote kilee!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom