Bwana Harusi hakujiandaa au udhalilishaji?

walikomaje sipati picha

Iko haja ya kujipanga na kuwa mkweli ya nini uone aibu... familia ya Bwana harusi wangesema kuwa hali ni tete pengine upande wa pili ungeokoa jahazi................
 
................ Haya mambo yametokea kweli.. ndo maana nikasema Bwana harusi hakujiandaa au kudhalilisha... hebu soma baadhi ya wachangiaji humu wameshawahi kushuhudia mikasa tena kuzidi huu....sio stori ya kuungaunga...

Ha ha ha pilau.. Kuna weird stories nyingi tu.. Nilionyesha shaka kwa sababu hukusema wapi ilipotokea.. Lakini yote kwa yote jamaa namuona yuko sahihi.. Complications hizi zinawaogopesha wengine kuingia kwenye kuoa..
 
Last edited by a moderator:
Watu wanatumia ulokole kuficha udhaifu/maovu yao!
Sitashangaa ukasikia na bi harusi nae alipiga saundi zake pia....yaweza kuwa hata ana mimba ya mtu mwingine....
Ulokole ni mwavuli unaobebeshwa uchafu mwingi sana.
 
Swali la msingi, mme aliweza kuoa usiku?

Hahaha... Kweli. Sipati picha upande wa bi harusi wameshajikwatua,wameitana eti kuja kumshuhudia binti,dada,shosti yao anaolewa. Wengine hata lunch hawakupiga,wanajua jioni jioni kuna msosi wa nguvu, kudadeki! Wakajipange upya! Mahari si walichukua? Ndoa si imefungwa? Jazba za nini? Nani aliwaahidi sherehe?
 
Ukute na usiku binti kapokea mtanange wa maana

Tena wasiwasumbue kabisa, wasubiri majibu ya ndoa tu

Hahaha... Kweli. Sipati picha upande wa bi harusi wameshajikwatua,wameitana eti kuja kumshuhudia binti,dada,shosti yao anaolewa. Wengine hata lunch hawakupiga,wanajua jioni jioni kuna msosi wa nguvu, kudadeki! Wakajipange upya! Mahari si walichukua? Ndoa si imefungwa? Jazba za nini? Nani aliwaahidi sherehe?
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu

Yaani haya manung'uniko yooote kwa sababu tu hamkupewa ubwabwa?

Mimi sioni kibaya chochote, nachokiona ni kwamba ndugu yetu kapata mke hasa. Kampenda kwa shida na raha na sio kwa shela na gari la harusi. Kwa kifupi, bibi harusi aeshinda mtihani wake wa kwanza. Ndoa sio nguo wewe
 
Ha ha ha pilau.. Kuna weird stories nyingi tu.. Nilionyesha shaka kwa sababu hukusema wapi ilipotokea.. Lakini yote kwa yote jamaa namuona yuko sahihi.. Complications hizi zinawaogopesha wengine kuingia kwenye kuoa..

..Ah !!! nikiwataja watajua kuwa ni Mimi naona Noma lakini ni jamaa kutoka kabila moja kubwa.....
 
ni muhaya tu huyu ! hakuna kabila linaloweza kupiga gemu kama hii kama sio hawa jamaa n awakubali sana kwa madeal makubwa
 
Ha ha ha.. ulikuwa mstari wa mbele kulalamika na kuponda nini pilau..? Ikionekana hata kwenye gazeti la udaku wewe ndo utakuwa umeuza picha..

ni muhaya tu huyu ! hakuna kabila linaloweza kupiga gemu kama hii kama sio hawa jamaa n awakubali sana kwa madeal makubwa

Mh Smile.. ina maana wamebobea kwenye hii aina ya unyakuaji wa wake..? Ngoja wenyewe waje hapa maana mie nilidhani utaalam wao umejikita zaidi kwenye ile katelelo..
 
Last edited by a moderator:
Hamna udhalilishaj harus upande wa bib harus haiwahusu km ambavyo sendoff upande wa bw haruc haiwahusu,mnaalikwa tu na sehem mnayoweza kuhudhuria msipoalikwa ni kanisan ambako yeyote aweza kwenda.
Kwa wahaya na wanyambo zaman wazaz wa mwanamke waliishia kanisan kwa hiyo km muhusika anatoka kabila hzo yuko sahihi!
Pia sion km bibi harus kutokupanda gar ni udhalilishaj endapo hakuahidiwa kuletewa gari lkn km alichukulia mazoea alikosea,mbona huko bush watu wanatembea kwa miguu tu mpk church!!
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu

Hii ni kweli imetokea au ndo watu wanaingizwa mjini na baiskeli ya miti?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ila angesema mapema jamani loh!

kuna wamama wanoko wewe! Anakwambia bila sherehe huoni mwanangu. Sasa uwaambie ili ukose? Nahisi jamaa aliambiwa na huyo binti. Wamama wanapenda sana vile vizawadi vya kanga na kusahau kwamba watu wanakopa kufanikisha hilo.
 
Bwana harusi alijiandaa kwa ndoa, ...bibi harusi kwa sherehe ya kuolewa. Kilichofuatia ni kuoneshana ubabe.
Facebook girls are simply CALAMITY.
 
Watu wanatumia ulokole kuficha udhaifu/maovu yao!
Sitashangaa ukasikia na bi harusi nae alipiga saundi zake pia....yaweza kuwa hata ana mimba ya mtu mwingine....
Ulokole ni mwavuli unaobebeshwa uchafu mwingi sana.

Usihukumu kwa kuwa tu huupendi ulokole au huwapendi walokole..Generalization z not good
 
Mambo Zion Daughter?
Sijahukumu....
Nimesema kwamba ulokole ni mwavuli unaotumiwa kuficha uovu.....sichukii ulokole...asilani!
Ulokole ni jambo jema kabisa.....ni vema kuwa na jamii yenye hofu ya Mungu....
Ila (na nimeshuhudia mara nyingi tu) ulokole unatumika kuficha uovu....mtu anatumia ulokole kujifanya ni msafi mbele ya watu!
Ukisoma hilo bandiko la pilau utaona kuna usanii ulitendeka.....na ni wazi kwa kisingizio cha ulokole!
Salamu kwako binti sayuni!

Usihukumu kwa kuwa tu huupendi ulokole au huwapendi walokole..Generalization z not good
 
Last edited by a moderator:
Kuna wanaume wanatuaibisha sana....hadi naona kama hadithi vile....

Mkuu Vin Diesel, ulitaka akavunje benki...mimi naona amekuwa mhalisia zaidi... Kesho ataawalika kwenye bonge la jumba mje kucheza na kina junia!! si unajua mcheka mwisho ucheka sana.....
 
Back
Top Bottom