Bwana Harusi hakujiandaa au udhalilishaji?

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu
 
mmmh ni movie au?
ila kila mtu na uwezo wao jamani. kama mlikuwa na uwezo wa kufanya senoff kubwa si mngemgawia bwanaharusi hela kidogo ya harusi jamani?
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- wazazi tuwe waangalifu katika mambo haya.. lazima tutafiti ili tujue maisha ya mwenetu huko aendako
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake... My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu
Huo kawazodoa kweli mnapenda kula kula? issue si kuoa kesha oa mnamdai nini tena?
 
Ndoa ya namna hiyo lazima itadumu tu..hachana na harusi za siku hizi michango mill.20 kuendelea..pesa ikikosekana hakuna harusi..Ndoa ni nyinyi wawili mnapokuwa peke yenu hapo tunaita ndoa.mengineyo ni ya wapambe tu..
 
Yalimtokea binamu yangu hayox2. Tumetoka kanishani ndugu wa mume walikuja kama mchezo wa kuigiza vile, kaka wa bwana harusi akachukua taxi maharusi wakaondoka, tukabaki tunatazamana. Tuliishia bar kula nyama choma.
 
Tatizo kulazimisha mambo tusiyoweza.

Kama vipi una elope kwa DC kisha unasepa South Beach na wapambe wawili. Harusi nzima siku mbili halafu gharama ni usafiri na vinywaji kwa watu wanne.

Wengine wa karibu watapata taarifa polepole.

Na wengine atakapokuja Junior.

Weddings are overrated. Especially by poor people who cannot afford them.
 
Yalimtokea binamu yangu hayox2. Tumetoka kanishani ndugu wa mume walikuja kama mchezo wa kuigiza vile, kaka wa bwana harusi akachukua taxi maharusi wakaondoka, tukabaki tunatazamana. Tuliishia bar kula nyama choma.

Inawezekana mliwazingua wakati wanaleta posa...
 
Ila ndoa kama hizi ndo zinazodumugu sana, kwanza bi harusi ana busara sana kuchukua bajaji, angekuwa mwingine angegoma as if, hajuwi hali ya uwezo wa mumewe. Pili bwana harusi yuko so real! Sio mambo ya kujicomplicate na maharusi ya gharama wakati uwezo hana. Tunawaona huku mtaani wanachukua mikopo ili kufanya masherehe, wakirudi kwenye fungate wanakuja kufilisiwa na baada ya hapo kila mtu anashika 50 zake...nimewapenda wote wawili!
 
ile michango ya harusi,hela wameenda kuanzia maisha
 
Ndoa ya namna hiyo lazima itadumu tu..hachana na harusi za siku hizi michango mill.20 kuendelea..pesa ikikosekana hakuna harusi..Ndoa ni nyinyi wawili mnapokuwa peke yenu hapo tunaita ndoa.mengineyo ni ya wapambe tu..
ila angesema mapema jamani loh!
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu

Mshkaji wangu alikuwa anaoa juzijuzi! Nikamwambia atafute nguo zake, best man, shela la wife wake na la mpambe wake na gari ya kuwabeba then akatafute hoteli! the rest awaachie kamati wakijipinda poa wakishindwa anachukua wife mapaka hoteli isiyojulikana!

Nadhani ndo dawa ya ndoa za siku hizi, we mtu unaambia sherehe ikosti milioni 20, si ujinga huo!
 
............Maandalizi ya harusi yamekamilika.. siku ya harusi bi harusi mtarajiwa anasubiri gari la kumpeleka saloon kupambwa ... gari halikutokea... akaamua kuchukua bajaj hadi saloon... yuko saloon anasubiri shela shela inakuja saa 9:30, baada ya kupambwa anasubiri gari lililopambwa aelekee kanisani gari halikutokea....anaamua kuchukua Bajaj hadi kanisani... kanisa la walokole... ameshachelewa lakini Mchungaji anafanya staha....... anawafungisha ndoa.... baada ya ndoa wanatoka nje ya kanisa ... hakuna cha gari la maharusi wala gari la wazazi wala wapambe..... kwa aibu ndugu wa mume wanaamua kukodi Taxi kuwachukua maharusi na kuelekea kusikojulikana ......na kuwaacha ndugu wa mke wasijue anakopelekwa mtoto wao......lakini ikumbukwe kwamba Bwana harusi alikuja siku ya sendoff na wapambe wake na ndugu wa chache ... walikula na kunywa .....kadi za mwaliko wa harusi walizopaswa kuja nazo siku ya sendoff hawakujanazo......ili bidi waalikwa wa sherehe hiyo nao kutawanyikia kila mtu na shughuli zake...

My take:- Wazazi mnaotaka watoto wenu waolewe juu kwa juu bila kufanya utafiti wa binti yako anakwenda wapi liangalieni hili... fanyeni utafiti mjue hali ya baadaye ya binti yasije yakawakuta kama yalivyowakuta hawa jamaa zangu

Bwana harusi hana makosa ni kamati yake haikujipanga vizuri pilau. Vilevile ukae ukifahamu watu wanatofautiana uwezo na mara nyingi wazazi wa upande wa bibi harusi ndio hushinikiza sherehe zisizowezekana kwa upande wa kijana; mathalani kama walijua uwezo wa mkwe wao badala ya kufanya "send off" kwa nini wasingekusanye nguvu wakafanya sherehe moja ya harusi kwa kuelekeza ile michango ya marafiki wa bibi harusi iende kuandaa sherehe ya harusi?
 
Last edited by a moderator:

bwanaharusi nadhani hakuwa muwazi tapeli huyu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom