KUWAPUUZIA WAPUUZI

KUWAPUUZIA WAPUUZI

mmakonde2004

New Member
Joined
May 25, 2026
Posts
4
Reaction score
10
Asalam aleykum,Bwana asifiwe watanzania wenzangu.
Awali ya yote Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimeifuatilia tangy nipo shule mwaka 2018 so naombeni mnipokee.
Kuna kitu nakiona na kinaniumiza sana moyo hivyo Leo nimeona niwasilishe uchungu wangu kwenu ni kuhusu hili swala la kujibizana au kuchangia threads za watu walioamua kujitoa ufahamu kama
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
Lucha
Gallow bird
Kerato Mombaa
Narego n.k
Kiukweli hawa watu wana maneno ya kutonesha machungu ya wapenda haki na wameshaamua iwe hivyo na inawezekana wanalipwa kwa kazi hiyo au labda hawa ndio wauaji wenyewe.
Ombi langu kwenu ikiwezekana hawa watu tuwatenge waanzishe mada zao halafu wajijibu wenyewe na wauaji wenzao.
Kwa Leo ni hayo tu
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Mungu ibariki Africa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
this is the most useless,
and completely nonsense article of the day,

i'm sorry for saying that light truth gentleman :BASED:
 
Ombi langu kwenu ikiwezekana hawa watu tuwatenge waanzishe mada zao halafu wajijibu wenyewe na wauaji wenzao.
Kwa Leo ni hayo tu
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa
Siwezi kukupokea kwa sababu we sio mgeni. Unajua pa kwenda kuweka viwalo na vigagulo vyako.

Turudi kwenye mada.
Nyuzi nyingi za hawa jamaa hazijawahi kukukataliwa. Huwa zinapingwa. Na ndo mfumo uliopo hapa JF.
Yaani uzi wowote ule utaoanzishwa humu, lazima utaungwa mkono na kukataliwa. Yaani lazima upate makundi mawili. Na bila hivyo sijui itakuwaje.

Kwahiyo kama unaona wanakera au wanakuumiza, wakemee/wakataze wasifanye hivo.

Wahenga walisema lisemwalo lipo, kama halipo linakuja.
Sa sijui kweli.
 
Ignore tem mkuu, mbona ni rahisi sana?

Me hao nishapiga chini kitambo zamani sana!.

Au kuignore avatar ya mtu wahumu jamvini haujui?
 
Hauna impact yoyote
Hii ni jamii forum jitahd sana kuwa na moyo wa uvumilivu pale unapoumbuliwa maana huwezi kutupangia cha kureply...tupo huru sana, by the way hatukukutuma kwenda kuiba simu ukakutana na misumari ya kutosha
-serikali haiwezi kuvumilia waporaji, vibaka na wahuni hata kidogo.
-mtashughulikiwa na tutapongeza hadi mtakapoacha ujinga.
 
Back
Top Bottom