Sikubaliani na wazo kuwa kuna watu wanazaliwa wakiwa na hormones za kuwafanya wawe mashoga. Hii ni tabia ambayo mtu anaianza taratibu na akifanywa/fanya mara mbili tatu basi, anayefanywa anaanza kuwa na mdudu washa na napenda awe anakunwa mara kwa mara na hapo ndipo anakuwa shoga. Kama kuna anayebishi, kwanza ajitathmini mwenyewe aone kuwa hana hizo hormones za ushoga, halafu aamue kuanza kulawitiwa. Mara ya kwanza atapata maumivu (kama wayapatayo wasichana), avumilie tu, mara mbili, tatu atasikia anaanza kuwashwa na kutaka kukunwa - Tayari-shoga! Haya ya kurembua macho na kujilegeza inatokana na wao kuzoea na kutaka kuwavutia wanaume.
La msingi ni kwamba hawa watu wajitokeze tuwasaidie namna ya kuachana na ushoga, Kwa kweli kwa sasa tuwaombee ili waache.