Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Katika fuatilia yangu ya wagombea urais, nimesikia wengi wakimuongelea na kumdhihaki wazi wazi Bw.Lowassa.
Wagombea kama Bw.Mwakyembe, Bw.Sitta &Co, lakini sijasikia Bw.Membe akimuongelea vibaya Bw.Lowassa, hii inaashiria habari njema kabisa na mwisho wa siku Mwakyembe, Sitta na wenzake wataumbuka sana na si ajabu 2015 ikawa ndio mwisho wao kisiasa Tanzania!