Kwa nimi navyojua...hii bustani ilikuwepo duniani...wachunguzi wanasema ilipatikana maeneo ya Middle East hasa hasa Iraq....Habari wakuu
Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????
"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...
Nawasilisha
alban
sasa me najiuliza kweny bible wanasema kuna ulinzi mkali umewekw je nan wa kuharibu??Ipo Iraq. Ukisoma Biblia, bustani ya Eden ilikuwa katikati ya mto Frati na Tigris. Tazama ramani yako utaona mito hiyo (Euphrates and Tigris). Ila kwa leo hakuna Bustani maana baada ya dhambi ulimwengu huu umeharibiwa vibaya...