Bustani ya Edeni ipo wapi?

Habari wakuu

Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani???? "Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...

Nawasilisha
Ilikuwa duniani ndio, nani alikuambia mbinguni wanalima matunda na kuna mito na wanyama? Kulingana na maelezo ya Biblia kwamba ilikuwa katikati ya mito miwili, Eufrates na Tigris, ilikuwa eneo la Turkey, Syria au Iraq. Lakini historia inaonyesha uwezekano mkubwa ilikuwa ene la Uturuki ya leo, ambayo hadi leo ni maarufu sana kwa kilimo cha matunda.

Usione Syria na Iraq wana matatizo sana. Usikute ndio nchi za wazazi wetu wa kwanza! Labda ni Ibilisi anawasurubu kwa ajili ya hilo. Kwa hiyo watu walianzia hili eneo ndio wakaenea nchi nyingine hadi huku Afrika na Ulaya.

1539095585136.png
 
Ni maoni kutoka biblia, uwepo wake na mahala ni swala la imani. Haina uthibitisho kisayansi.
 
Nenda katafute maana ya eden in hebrew language ndio itakuwa jibu la swali lako
 
Ilikuwa duniani ndio, nani alikuambia mbinguni wanalima matunda na kuna mito na wanyama? Kulingana na maelezo ya Biblia kwamba ilikuwa katikati ya mito miwili, Eufrates na Tigris, ilikuwa eneo la Turkey, Syria au Iraq. Lakini historia inaonyesha uwezekano mkubwa ilikuwa ene la Uturuki ya leo, ambayo hadi leo ni maarufu sana kwa kilimo cha matunda.

Usione Syria na Iraq wana matatizo sana. Usikute ndio nchi za wazazi wetu wa kwanza! Labda ni Ibilisi anawasurubu kwa ajili ya hilo. Kwa hiyo watu walianzia hili eneo ndio wakaenea nchi nyingine hadi huku Afrika na Ulaya.

View attachment 892004
Asante mkuu
 
Wengine wanasema ipo Bukoba nchini Tanzania; mbona mnachanganya watu?
 
IPO HAPAHAPA DUNIANI ILA HAKUNA AJUAJE EXACTLY SEHEMU ILIPO, INASEMEKANA NI IRAQ AU IRAN SINA HAKIKA.
Hapa ndio huwa nacheka.Bustani lazima iwe green area, sehemu mvua nyingi nk.cha ajabu bustani ipo jangwani badala ya Afrika,.Kwa kuwa waliotuletea dini wapo huko lazima waandike bustani ipo huko lakini jiografia ya kisasa inakataa.
 
Bustani ipo Afrika na ndio maana wazungu huja kushangaa bustani.Huko iraq hakuna wanyama wala misitu ni mitende tu, sasa wanyama watakula majani ya mitende.
 
Habari wakuu

Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????

"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...

Nawasilisha
alban
Kwa evidence za kiikolojia na kibiblia bustani hii probably ilikuwa(maana sasa haipo imetoweka) katika nchi ambayo hapo awali ilijulikana km Mesotamia ambayo ni iraq ya sasa maana hyo mito inayotajwa ktk biblia ambayo ndiyo ilikuwa inazinguka bustani hyo location ya mito hyo inaonesha ni nchini Iraq.
 
Hujui ni hekaya za abunuwasi ? Alivyomwambia jamaa ashikilie ghorofa ya chini anabomoa ya juu ni kweli ?? Labda useme ipo olduvai Arusha .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom