Ilikuwa nchi ya uturukiHabari wakuu
Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????
"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...
Nawasilisha
alban
Wengine wanasema ipo Bukoba nchini Tanzania; mbona mnachanganya watu?
so ilipaswa kuwa DRC?? mana ndo kuna mapori ya EQUATORIAL na mvua za mara kwa mara?? kumbuka mambo haya yalitokeaga miaka mingi kabla ya mabadiliko ya tabia nchi, kama umesoma jiografia utanielewaHapa ndio huwa nacheka.Bustani lazima iwe green area, sehemu mvua nyingi nk.cha ajabu bustani ipo jangwani badala ya Afrika,.Kwa kuwa waliotuletea dini wapo huko lazima waandike bustani ipo huko lakini jiografia ya kisasa inakataa.
Iko ngorongoroItakuwa tu rohoni maana hayo ni masuala ya kiroho zaidi.
Pale ngorongoro Crater ndipo ilipokuwaga edeniHabari wakuu
Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????
"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...
Nawasilisha
alban