Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

...wewe unakaribia kuwa sahihi;bustani ya eden ni uzuri wa mwili wa mwanamke,na tunda ndio lile tunalifahamu wote.Acheni habari za mto tigris,iraq, sijui na nini.
Sasa Adam na eva walifukuzwa wapi?
 
Wanatajwa wao kwa sababu wenzetu walijitahidi kuweka historia ya mambo ya kale yanayohusu Mungu na jamii yao ya Kiyahudi, jamii zingine kama Afrika huku hayakuwa na utamaduni wa kurekodi vizazi hadi vizazi!
 
Muleta mada soma vizuri biblia hakusema watu bali watu wetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa

Nimeweka kumbukumbu sawa
 
Bustani ya Eden ilikua Tanzania na fuvu la Adam lilipatikana Olduvai. Bisha kwa evidence
 
Edeni ilishushwa chini ya bahari na baadae ikahamishwa na kupelekwa juu paradiso.
Kumbuka Mungu aliweka makaika ili kulinda mtu asiingie akachuma tunda la mti wa uzima.

Kuna vitu vingi vimehamishwa au kufichwa hapahapa duniani mfano sanduku la agano lipo wapi hivi leo
 
Reactions: PNC

hapo ungesema dunia ilifananishwa na edeni nigekuelewa lakini dunia sio bustani. soma mwanzo 2 :8 'bwana MUNGU akapanda bustani upande wa mashariki wa edeni'.

ukiendelea kusoma mstari wa 10 unasomeka 'hivi ukatoka mto katika edeni wa kuitilia maji bustani na kutokea hapo ukagawanyika katika vichwa vinne ( Pishoni, Gihoni, Hidekeli na Frati )'
 

I m trying to draw some logics behind your contentions.
 
Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu?@aminiusuamini
Ameonekana na nani ? Wwe umemwona lini ukamwona ni mweupe? Mungu gani ni mtu? Tafadhali jamani.

Mungu ni Roho hana mwili, mifupa wala damu. Wwe wapi umesoma Mungu ni mtu mweupe? Naomba ujiepushe na ibada za sanamu.
 
Reactions: PNC
Mkuu tumia tu Hata quran ili upate majibu.
 


Kama nakuelewa hiviii...hebu Fanya urudi uwokoe hiki kizazi kinacho angamia kwa kukosa maarifa
 
Hahah imebidi tu nicheke si ndio wana historia wanasema fuvu la mtu wa kwanza sijui lilipatikana hapa
Umeona, wale wa babiloni walituzidi ujanja, wakaita mito ya huko majina ya biblia. Mfano, sisi kuita bara bara yetu BARACK OBAMA haiwezi mfanya Obama awe mtanzania.. Ataendelea kuwa mkenya. Vivo hiyo eden itabaki kuwa ilipokuwa licha ya majina ya mito inayoizunguka kuwepo irak.
 
...wewe unakaribia kuwa sahihi;bustani ya eden ni uzuri wa mwili wa mwanamke,na tunda ndio lile tunalifahamu wote.Acheni habari za mto tigris,iraq, sijui na nini.
We ndo unakosea kabisa
 
Wanefil ndo wale waliopitia mabadiliko kutoka manyani
 
Wazungu na yeyote yule walioandika hivi vitabu Ni waongo wakubwa nashangaa mpaka Leo hii sijui kwanini watu bado wanaamini huu upuuzi. Kama mpaka Leo hii wanashindwa kujua jinsi gani yalijengwa mapiramidi ya Misri na wewe unaamini stori zao jinsi gani mungu aliumba dunia basi utakuwa mpuuzi. Je dunia hii na mapiramidi nini kilianza?
 
Na usisahau kwamba kabla ya Adam walikuwepo walioishi nje ya Eden. Adam alivyofukuzwa akaenda kuishi nao. Eden ilikuwa Iraq ya sasa
Yani ukweli Ni kuwa kabla Adam NA Eva, Kuna watu walikuwepo Na maisha yalienda.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…