Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!
Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.