Burudani wine

Burudani wine

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,137
Kwa bei ya sh. Mia sita tu, tunapata wine ambao mifuko yetu imepiga chenga kuafford ma dompo, st.anne, st.raphael etc.
1391084485047.jpg
 
Yaani mauti yanatunyemelea sana kwa hizi kitu za kuondoa mawazo haraka.
 
Tuombe Pia Neema na Rehema za MUNGU maana shetani anataka atumalize kwa mbinu zake nyingi na tofauti tofauti
 
Du, ni move nzuri kumfanya hata asiye na uwezo wa 12K ya papo kwa papo akapata starehe, japo ya masaa machache.
Ijapokuwa kwa mtu wa aina yangu anayepiga visichana viwili kila jioni sijui ntahitaji hizo packets ngapi ili afikie viwango!!!
Mleta mada labda useme hiyo wine ina alikoholi ngapi ili tuanzie hapo.
cc: Asprin Arushaone, Preta
 
Last edited by a moderator:

mkuu hii kitu ina 14%V alcohol
 
Last edited by a moderator:
kule arusha ukikutwa unakunywa haya makitu ni unachapwa bakora 70 hadharani
 
sidhani kama kuna ukweli hapo mkuu wakati chuga ndo inaongoza kwa watu kula viroba na akanana
 
Kuna ukweli mkubwa tu, soma gazeti la "Mtanzania" la leo 30.01.14 utaona.......hata jimboni kwa Mbunge Nasari nako wamepitisha hizi bylaws
 
Du, ni move nzuri kumfanya hata asiye na uwezo wa 12K ya papo kwa papo akapata starehe, japo ya masaa machache.
Ijapokuwa kwa mtu wa aina yangu anayepiga visichana viwili kila jioni sijui ntahitaji hizo packets ngapi ili afikie viwango!!!
Mleta mada labda useme hiyo wine ina alikoholi ngapi ili tuanzie hapo.
cc: Asprin Arushaone, Preta

Hapa sasa mkuu idadi ya viroba inazidi kuongezeka.......naona bora nihamie kwenye Altar Wine.......bye bye Zanzi.......
Halafu nakutafuta........
 
Last edited by a moderator:
Kuna ukweli mkubwa tu, soma gazeti la "Mtanzania" la leo 30.01.14 utaona.......hata jimboni kwa Mbunge Nasari nako wamepitisha hizi bylaws
daah kweli kimenuka mkuu
 
Mkuu mls ngapi hiki kitoto.......?
mkuu Preta sina hakika ntachek kesho nikinunu ila ni kama kiroba OG kikubwa na nusu hivi. Halafu ni tamu balaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom