Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,197
- 18,313
Mungu wangu!!!!! ni Kiroba tena!!
Kwa hiyo ni chombo sweet sio.....
sinoni daraja mbilu?bibie wachangamkia hii mambo au unaweka pale kwenye "grocery" yetu mitaa ya sinoni?
hahaaaaaaa hiyo kitu ni nouma kama c mzoefu wa vikali unazima hivi hivi halafu wana wachangamkie kifusi
Hapa sasa mkuu idadi ya viroba inazidi kuongezeka.......naona bora nihamie kwenye Altar Wine.......bye bye Zanzi.......
Halafu nakutafuta........
hahaaaaaaa hiyo kitu ni nouma kama c mzoefu wa vikali unazima hivi hivi halafu wana wachangamkie kifusi
mbona nyepesi jana nimevipiga saba.
mbona nyepesi jana nimevipiga saba.
Mkuu huwezi piga saba ivo!Kuna jamaa nime mchanganyia na Bongo Bond aisee kilicho tokea hakifai kuandika apa!
Mkuu huwezi piga saba ivo!Kuna jamaa nime mchanganyia na Bongo Bond aisee kilicho tokea hakifai kuandika apa!
mkuu sio jambo la kujisifia ila mimi nimefinywa 7 na asubuh jib kama kawa.
Kuna kitu kinaitwa banana wine.. nacho ni balaa sana
Usipime! kama umezoea kesto lite utaonekana mchuchu tu mbele ya banana
Mkuu nilikunywa nne siku moja.. hiyo hangover yake sasa siku 3..