Burn DVD

Yassin

JF-Expert Member
Jul 23, 2008
326
7
Habari wadau mambo vipi jamani......Kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............Nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye DVD lakini sasa mimi natumia Realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only CD sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn VIDEO NILIZODOWNLOAD KUZIWEKA KWENYE DVD......Natanguliza shukran
 
Mimi nataka kutumia pc yangu ku burn from vcr to dvd. Any idea which software should i use?
 
Kwa hakika Neno ver.7 ita burn bila shida. Nimekuwa nikiitumia kufanya shughuli hiyo na inafanya bila shida.
 
Mimi nataka kutumia pc yangu ku burn from vcr to dvd. Any idea which software should i use?

Kuna kitu inaitwa pinnacle studio niliwahi kutumia. Sijui kama hapo bongo wana cd zake ama vipi. Inafanya vizuri sana kwa kazi ya kuhamisha vcr to dvd.
 
Hata ungekuwa na software gani, huwezi kuburn DVD kama computer yako si DVD-enabled!!!! Vilevile kuburn DVD si kila CD inaburn DVD, inatakiwa uwe na DVD Empty CD au DVD Re-Writable (DVD- RW) CD. Mara nyingi computer na CD za kawaida zinaburn audio CD na VCD but not DVD. Tuko pamoja Yassin?
 
Hapo amesema pia vcr inabidi uwe na deki pamoja na vifaa vingine vya kukuwezesha kufanya hivyo kwa msaada zaidi tembelea duka moja linaitwa kvd mtaa wa indira ghandi mjini dar es salaam wale ndio wanauza bidhaa hizo wataweza kukusaidia zaidi kutokana na mahitaji yako
 
habari wadau mambo vipi jamani......kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye dvd lakini sasa mimi natumia realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only cd sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn video nilizodownload kuziweka kwenye dvd......natanguliza shukran

hujasema kama hizo video umeshaconvert kwenda katika format inayotakiwa kwa ajili ya kutengenezea dvd lakini hii inategemea zaidi na aina ya real player unayoitumia
 
Hapo amesema pia vcr inabidi uwe na deki pamoja na vifaa vingine vya kukuwezesha kufanya hivyo kwa msaada zaidi tembelea duka moja linaitwa kvd mtaa wa indira ghandi mjini dar es salaam wale ndio wanauza bidhaa hizo wataweza kukusaidia zaidi kutokana na mahitaji yako

There you are, ni KVD shop. Na bei ya hivyo vifaa nafikiri kwenye laki 4 hivi na ushee.
 
Hata ungekuwa na software gani, huwezi kuburn DVD kama computer yako si DVD-enabled!!!! Vilevile kuburn DVD si kila CD inaburn DVD, inatakiwa uwe na DVD Empty CD au DVD Re-Writable (DVD- RW) CD. Mara nyingi computer na CD za kawaida zinaburn audio CD na VCD but not DVD. Tuko pamoja Yassin?

Mkuuu hapo nimekuelewa vizuri sana tena sana...Pia mimi nina DVD-R ila ndio nataka niamishe zile download kwenye DVD-R ndio tatizo lipo hapo lakini nimekupata mkuu asante kwa mawazo yako!!
 
hujasema kama hizo video umeshaconvert kwenda katika format inayotakiwa kwa ajili ya kutengenezea dvd lakini hii inategemea zaidi na aina ya real player unayoitumia

Yap nimekupata mkuu nimezidownload tu na kuziweka mahali kwa ajili ya kuzihamisha kwenye hiyo DVD......Lakini realplayer ambayo ninayo mimi ni realplayer ya kawaida lakini inaniambia kwamba inabidi nipate REALPLAYER PLUS ili niweze kufanya kila kitu na hiyo realplayer plus inabidi kuinunua sasa kazi ya mara moja inabidi mpaka ninunue software???Nadhani umenipata mkuuu...Maana realplayer inakubali CD tu basi sio zaidi ya hapo.
 
Habari wadau mambo vipi jamani......Kwa mara nyingine tena nilikuwa naomba msaada wenu maana nimeangaika nimeshindwa labda wadau hapa mtakuwa mnafahamu.............Nilikuwa nimedownload video kutoka youtube sasa nilikuwa nataka niziamishie kwenye DVD lakini sasa mimi natumia Realplayer lakini sasa hiyo realplayer inakataa kabisa kuburn inakubali kuburn only CD sasa kuna sotware nyingine zaidi ya hii realplayer ninaweza kutumia kuburn VIDEO NILIZODOWNLOAD KUZIWEKA KWENYE DVD......Natanguliza shukran

Ntakusaidia, unataka kuziweka kwenye DVD ili uweze kuzicheza kwenye standalone DVD player(Deki ya DVD) au unataka kuziweka ili ucheze kwenye compyuta baadae?

Kama unataka kucheza kwenye DVD Player inabidi uziconvert kwenye apropriate format, na labda nikwambie kuwa probably zitakua quality mbaya kwasababu umezichukua youtube. Niambie kama unataka hili maana ni process ndefu kidogo.

Kama unataka kuzicheza kwenye PC baadade basi ni kuziburn tu. Tumia software hii ni bure Burn4Free CD and DVD - Free software downloads and reviews - CNET Download.com
 
Mimi nataka kutumia pc yangu ku burn from vcr to dvd. Any idea which software should i use?

Kuchukua analog video kuileta kwenye digital format unahitaji kitu kinaitwa capture card, ni hardware kuna ambazo zinaenda ndani ya PC na kuna za USB external. Unachomeka VCR kwenye hiyo capture card inaconvert video into a digital format. Mara nyingi huja na software yake. Zinacost kama $50 for basic unit. Link usb capture card - Google Product Search

Pia kama una digital camcorder kuna zengine zinaweza kuchukua analog input, so unachomeka VCR kwenye camera unarekodi then unatransfer kwenye PC.
 
Kuna clip mzuri sana jinsi ya kuconvert na kuburn youtubes videos, softwares ni free.
utahitaji software hizi kwa project yako.
1)Koyote Soft - ipod dvd converter
2) DVD Flick
how to work on your project visit Tinkernut.com
or search youtube "Convert YouTube Videos to DVD"
 
Ntakusaidia, unataka kuziweka kwenye DVD ili uweze kuzicheza kwenye standalone DVD player(Deki ya DVD) au unataka kuziweka ili ucheze kwenye compyuta baadae?

Kama unataka kucheza kwenye DVD Player inabidi uziconvert kwenye apropriate format, na labda nikwambie kuwa probably zitakua quality mbaya kwasababu umezichukua youtube. Niambie kama unataka hili maana ni process ndefu kidogo.

Kama unataka kuzicheza kwenye PC baadade basi ni kuziburn tu. Tumia software hii ni bure Burn4Free CD and DVD - Free software downloads and reviews - CNET Download.com

Asante sana mkuu kwa kuweza kunijibu na kutaka kuweza kunisaidia.....Hapo hujakosea kabisa ninataka nizi burn au niziamishe kwenye DVD alafu niwe naangalia kwenye DVD PLAYER sio computer,
 
Back
Top Bottom