Buriani David Ngayoma, mpiga picha Sahara media

Buriani David Ngayoma, mpiga picha Sahara media

mpiga picha mahiri wa sahara media group bwana david ngayoma hatuna naye tena baada ya kufariki dunia juzi kwa shinikizo la damu na kisukari...marehemu atazikwa leo jijini dar.

View attachment 255349
david ngayoma enzi za uhai wake
na begi zake mzirudishe kama alivyokuja nazo mwz ..maana albino nyinyi sasa namarehemu mumlete na begi moja muone

rip br
 
wote n marehemu

Daaah.. wewe kiumbe umeshindikana lol.. Haya mbali na kuwa na unasaba wa kuwa wote marehemu jee walikuwa na undugu wowote enzi za uhai wao Pdidy..?
 
Last edited by a moderator:
Bwana ameleta Bwana ametwaa jina lake lihimdiwe, Amen
 
R.I.P Ngayoma! Lakini Star TV wamenishanganza wametumia nusu saa kutangaza msiba huu bila kuonyesha Picha ya marehemu! Hii tasnia ya habari mimi nachoka kabisa.
 
R.I.P Ngayoma! Lakini Star TV wamenishanganza wametumia nusu saa kutangaza msiba huu bila kuonyesha Picha ya marehemu! Hii tasnia ya habari mimi nachoka kabisa.

Picha ya Marehemu imewekwa kwenye huu uzi.

Au ulitaka ya nani mkuu..
 
Kama aliona picha ya marehemu kwenye huu uzi hakukuwa na haja ya ku-demand picha nyingine.

R.I.P Ngayoma! Lakini Star TV wamenishanganza wametumia nusu saa kutangaza msiba huu bila kuonyesha Picha ya marehemu! Hii tasnia ya habari mimi nachoka kabisa.

Unaambiwa ungeenda shule ungemuelewa. Yeye hana tatizo na picha bali tasnia ya habari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom