Dont go away
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 501
- 208
Apumzike kwa amani.. Alikuwa na unasaba wowote na marehemu John Ngayoma huyu..?
Shinikizo la damu halisababishi mtu kupoteza maisha, labda complications..
R.I.P David
Watu wabishi! Mtu ameripotiwa kufariki kwa shinikizo la damu jamaa anabisha! Kisha anajidai r.i.p!
r.i.p mungu awape nguvu wafiwa ameenrip david ngayoma mungu akuweke mahala pema peponi...amina...
Watu wabishi! Mtu ameripotiwa kufariki kwa shinikizo la damu jamaa anabisha! Kisha anajidai r.i.p!