Buriani David Ngayoma, mpiga picha Sahara media

RIP David

Yaani hizi BP na Kisukari sasa hivi zinaondoa vijana sana. Yaani ukishafikisha miaka 35 ongeza umakini katika lifestyle yako, miaka 40 na kuendelea ndio kabisa.
 
Kuna taarifa toka Mwanza kuwa...chanzo cha kifo chake ni stress za mishahara....alikuwa hajalipwa mshahara kwa miezi 8 na wiki mbili zilizopita aliwabeba watoto wake akaenda nao kazini kwake kwa sababu watoto walidai "ada" baba yao akaamua kuwabeba watoto wake wote 3 hadi ofisini kwa mkuu wa utawala...huku nyumbani kulikuwa hakukaliki kabisa kwani mke wake alianza kuja juu akitaka pesa za matumizi..

.hali hiyo ilipelekea msongo wa mawazo hivyo kusababisha pressure kupanda ghafla...wafanyakazi wenzake wanasema...siku aliyokwenda na watoto wake kazini kwake baada ya siku 2 alipewa mshahara 1 tu...wakaahidiwa kuwa zingine watamaliziwa baada ya siku 2....lakini hawakupewa...
 
Kuna taarifa toka Mwanza kuwa...chanzo cha kifo chake ni stress za mishahara....alikuwa hajalipwa mshahara kwa miezi 8 na wiki mbili zilizopita aliwabeba watoto wake akaenda nao kazini kwake kwa sababu watoto walidai "ada" baba yao akaamua kuwabeba watoto wake wote 3 hadi ofisini kwa mkuu wa utawala...

huku nyumbani kulikuwa hakukaliki kabisa kwani mke wake alianza kuja juu akitaka pesa za matumizi...hali hiyo ilipelekea msongo wa mawazo hivyo kusababisha pressure kupanda ghafla...wafanyakazi wenzake wanasema...siku aliyokwenda na watoto wake kazini kwake baada ya siku 2 alipewa mshahara 1 tu...wakaahidiwa kuwa zingine watamaliziwa baada ya siku 2....lakini hawakupewa...

Ndio maana Yule mchungaji alisema sana Jana ktk misa ya marehemu kuhusu tabia mbaya za waajiri, duhh naweza kukubaliana na mchango wako hapo juu mkuu.
 
Kuna taarifa toka Mwanza kuwa...chanzo cha kifo chake ni stress za mishahara....alikuwa hajalipwa mshahara kwa miezi 8 na wiki mbili zilizopita aliwabeba watoto wake akaenda nao kazini kwake kwa sababu watoto walidai "ada" baba yao akaamua kuwabeba watoto wake wote 3 hadi ofisini kwa mkuu wa utawala..

.huku nyumbani kulikuwa hakukaliki kabisa kwani mke wake alianza kuja juu akitaka pesa za matumizi...hali hiyo ilipelekea msongo wa mawazo hivyo kusababisha pressure kupanda ghafla...wafanyakazi wenzake wanasema...siku aliyokwenda na watoto wake kazini kwake baada ya siku 2 alipewa mshahara 1 tu...wakaahidiwa kuwa zingine watamaliziwa baada ya siku 2...

.lakini hawakupewa...
Hii haiyumkiniki. Miezi nane, katika hali ya kawaidia, ni mingi sana. Ni yeye pekee hakuwa analipwa au ni wafanyakazi wote wa sahara media?Je hakukuwa na sababu maalumu kwa nini hakuwa analipwa? Alikuwa na madeni?
 
RIP David

Yaani hizi BP na Kisukari sasa hivi zinaondoa vijana sana. Yaani ukishafikisha miaka 35 ongeza umakini katika lifestyle yako, miaka 40 na kuendelea ndio kabisa.
Kaka marehemu alikuwa na umri gani?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kuna taarifa toka Mwanza kuwa...chanzo cha kifo chake ni stress za mishahara....alikuwa hajalipwa mshahara kwa miezi 8 na wiki mbili zilizopita aliwabeba watoto wake akaenda nao kazini kwake kwa sababu watoto walidai "ada" baba yao akaamua kuwabeba watoto wake wote 3 hadi ofisini kwa mkuu wa utawala..

.huku nyumbani kulikuwa hakukaliki kabisa kwani mke wake alianza kuja juu akitaka pesa za matumizi...hali hiyo ilipelekea msongo wa mawazo hivyo kusababisha pressure kupanda ghafla...wafanyakazi wenzake wanasema...siku aliyokwenda na watoto wake kazini kwake baada ya siku 2 alipewa mshahara 1 tu...wakaahidiwa kuwa zingine watamaliziwa baada ya siku 2....lakini hawakupewa...

Mkuu hizi habari zina ukweli wowote au ndo redio mbao..?
 
Jana ulimsikiliza yule mchungaji aliyekuwa anahubiri katika misa ya kumuombea marehemu Dar? ilirushwa star tv...yule mchungaji alisema kuwa...Kilichomuua David ni msongo wa mawazo kwani mwajiri wake ambaye ni Antony Diallo (MNEC CCM) alikuwa hajamlipa mishahara yake kwa miezi 8...nimempigia cm rafiki yangu mmoja pale star tv ameniambia hivi...." Kaka Diallo anatuhuwa, marehemu David alikuwa hajapewa mishahara kwa miezi 8, hata mimi (yeye) hajapewa mishahara yake ya miezi 7...mara ya mwisho nililipwa mshahara 1 tukiwa na marehemu Ngahyoma" kaka kama una shaka na kama una mtu pale star tv au RFA mpigie cm tu...
 
Kuna taarifa toka Mwanza kuwa...chanzo cha kifo chake ni stress za mishahara....alikuwa hajalipwa mshahara kwa miezi 8 na wiki mbili zilizopita aliwabeba watoto wake akaenda nao kazini kwake kwa sababu watoto walidai "ada" baba yao akaamua kuwabeba watoto wake wote 3 hadi ofisini kwa mkuu wa utawala...huku nyumbani kulikuwa hakukaliki kabisa kwani mke wake alianza kuja juu akitaka pesa za matumizi..

.hali hiyo ilipelekea msongo wa mawazo hivyo kusababisha pressure kupanda ghafla...wafanyakazi wenzake wanasema...siku aliyokwenda na watoto wake kazini kwake baada ya siku 2 alipewa mshahara 1 tu...wakaahidiwa kuwa zingine watamaliziwa baada ya siku 2....lakini hawakupewa...

Ninahisi kuna ukweli fulani katika hili maana yule shemasi akihubiri aliwakomalia sana maboss
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Jana ulimsikiliza yule mchungaji aliyekuwa anahubiri katika misa ya kumuombea marehemu Dar? ilirushwa star tv...yule mchungaji alisema kuwa...Kilichomuua David ni msongo wa mawazo kwani mwajiri wake ambaye ni Antony Diallo (MNEC CCM) alikuwa hajamlipa mishahara yake kwa miezi 8...nimempigia cm rafiki yangu mmoja pale star tv ameniambia hivi...." Kaka Diallo anatuhuwa, marehemu David alikuwa hajapewa mishahara kwa miezi 8, hata mimi (yeye) hajapewa mishahara yake ya miezi 7...mara ya mwisho nililipwa mshahara 1 tukiwa na marehemu Ngahyoma" kaka kama una shaka na kama una mtu pale star tv au RFA mpigie cm tu...

Hizi tuhuma siyo za kupuuzwa, tena ilipaswa zifunguliwe uzi wake kabisa...
 
Jana ulimsikiliza yule mchungaji aliyekuwa anahubiri katika misa ya kumuombea marehemu Dar? ilirushwa star tv...yule mchungaji alisema kuwa...Kilichomuua David ni msongo wa mawazo kwani mwajiri wake ambaye ni Antony Diallo (MNEC CCM) alikuwa hajamlipa mishahara yake kwa miezi 8...nimempigia cm rafiki yangu mmoja pale star tv ameniambia hivi...." Kaka Diallo anatuhuwa, marehemu David alikuwa hajapewa mishahara kwa miezi 8, hata mimi (yeye) hajapewa mishahara yake ya miezi 7...mara ya mwisho nililipwa mshahara 1 tukiwa na marehemu Ngahyoma" kaka kama una shaka na kama una mtu pale star tv au RFA mpigie cm tu...

Duuh.. kama mwajiri wako ni mjumbe kwenye vikao vikubwa vya chama tawala sijui malalamiko yako yatapata kushughulikiwa wapi..! Aiseee pole zao sana wafiwa..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom