Buriani David Ngayoma, mpiga picha Sahara media

Shinikizo la damu halisababishi mtu kupoteza maisha, labda complications..

R.I.P David
Mkuu hata mimi nimeogopa maana mimi niligundulika juzi juzi kuwa ni pre-diabetes, nilikuwa na kilo 115 nimeshauriwa nipunguze sasa nina 90 niliacha kabisa kula wanga chakula changu kilikuwa ni low carb mbogamboga matunda hasa parachichi na apple...kwa kifupi magonjwa haya non communicable yanasababishwa na lifestyle, mimi nilikuwa mtu wa kula sana ma michemsho bar na bia bila ya kuzingatia mazoezi...nilipatwa na mshtuko sana doctor alivyoniambia kwa mara ya kwanza ila kwa sasa nimekubaliana na hali hiyo...ugonjwa wa kisukari unaweza kuuchelewesha ile onset yake kwa kufanya mazoezi na kuzingatia lishe bora acha kabisa chipsi mayai unywaji wa kupindukia etc
 
Inasikitisha sana. Sijui mwajiri unapata raha gani kusikia mambo kama haya yametokea kwa wafanyakazi wako.
 
Mkuu hata mimi nimeogopa maana mimi niligundulika juzi juzi kuwa ni pre-diabetes, nilikuwa na kilo 115 nimeshauriwa nipunguze sasa nina 90 niliacha kabisa kula wanga chakula changu kilikuwa ni low carb mbogamboga matunda hasa parachichi na apple...kwa kifupi magonjwa haya non communicable yanasababishwa na lifestyle, mimi nilikuwa mtu wa kula sana ma michemsho bar na bia bila ya kuzingatia mazoezi...nilipatwa na mshtuko sana doctor alivyoniambia kwa mara ya kwanza ila kwa sasa nimekubaliana na hali hiyo...ugonjwa wa kisukari unaweza kuuchelewesha ile onset yake kwa kufanya mazoezi na kuzingatia lishe bora acha kabisa chipsi mayai unywaji wa kupindukia etc

Pole sana, watu wengi wanakuja kugundua matatizo baada ya kupata complications za ugonjwa fulani, Hypertension, Stroke, Heart Failure na Diabets ni kama familia moja.

Ukimpima mtu wa Hypertension blood glucose yaani RBG ( Random Blood Glucose) ni lazima inakuwa slightly elevated so if there will be no urgently intervention kudhibiti High Blood Pressure mwisho mtu anapata Diabetes ambayo inakuwa ya Acquired means not originated from pancreatic dysfunctions...

Nakukaribisha kwa elimu zaidi, currently leading deaths ni non communicable diseasea due to poor life stlyle beginning from what we eat and our daily activities Rihana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom