Buriani Bi. Hajjat Shida Salum Mohamed (Mama mzazi wa Zitto)

Namkumbuka Mama Zitto alipomshangaa mtoto wake kuhama CHADEMA ..Mama alikua kiongozi wa CHADEMA na hakuwahi kuhama wala kutetereka...mpaka umauti unamkuta

she raised one of prominent politician...Alone
 
Huyu mtu ni sawa na mrema wa tlp na mbatia wa nccr.

Don't let a politician to grant you a favor 😁 as he will control you forever.

Naongelea ufahamu ngazi ya tano.
Angalau yeye si mnafiki,hao wengine bosi wao anafahamika
 
Angalau yeye si mnafiki,hao wengine bosi wao anafahamika
Alifanisha aliyotumwa kuyafanya akiwa chadema (kuidhoofisha) ndio maana waliomtuma wanahuzunika pamoja nae, wanauguza pamoja nae hata kulia wanalia nae.

Tungesema tofauti kama kinachotuliza wananchi kingekua kilio chao pia.

HATA MAALIM SEIF MSIMUAMINI KIHIIVYO.
 
Tunaoujua mchezo tunajua kuwa Zitto anatumiwa kwa maslahi ya watawala.
Mkuu hapa umeniacha kidogo, unamaanisha ZZK alikuwa akitumika na JK au hadi sasa bado ni mtiifu kwa pombe!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…