Buriani Bi. Hajjat Shida Salum Mohamed (Mama mzazi wa Zitto)

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
132
541
Juni 1, 2014, tarehe kama ya leo Mama mzazi wa Kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe Bi. Hajjat Shida Salum Mohamed alifariki Dunia katika hospitali ya Ami, Masaki, Dar alipokuwa anatibiwa.

Naomba tuendelee kumwombea kheri mama yetu aendelee kulala salama alipo. Ameen!!

IMG_20200601_121704.jpg
 
Namkumbuka Mama Zitto alipomshangaa mtoto wake kuhama CHADEMA ..Mama alikua kiongozi wa CHADEMA na hakuwahi kuhama wala kutetereka...mpaka umauti unamkuta

she raised one of prominent politician...Alone
 
Huyu mtu ni sawa na mrema wa tlp na mbatia wa nccr.

Don't let a politician to grant you a favor 😁 as he will control you forever.

Naongelea ufahamu ngazi ya tano.
Angalau yeye si mnafiki,hao wengine bosi wao anafahamika
 
Angalau yeye si mnafiki,hao wengine bosi wao anafahamika
Alifanisha aliyotumwa kuyafanya akiwa chadema (kuidhoofisha) ndio maana waliomtuma wanahuzunika pamoja nae, wanauguza pamoja nae hata kulia wanalia nae.

Tungesema tofauti kama kinachotuliza wananchi kingekua kilio chao pia.

HATA MAALIM SEIF MSIMUAMINI KIHIIVYO.
 
Tunaoujua mchezo tunajua kuwa Zitto anatumiwa kwa maslahi ya watawala.
Mkuu hapa umeniacha kidogo, unamaanisha ZZK alikuwa akitumika na JK au hadi sasa bado ni mtiifu kwa pombe!??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom