Buriani Bi. Hajjat Shida Salum Mohamed (Mama mzazi wa Zitto)

Alifanisha aliyotumwa kuyafanya akiwa chadema (kuidhoofisha) ndio maana waliomtuma wanahuzunika pamoja nae, wanauguza pamoja nae hata kulia wanalia nae.

Tungesema tofauti kama kinachotuliza wananchi kingekua kilio chao pia.

HATA MAALIM SEIF MSIMUAMINI KIHIIVYO.
Yapata miezi 6 sasa, bado tunaendelea kufanya tathmini. Ila kama haya yaliyosemwa na jogi yanaanza kumea hivi!
 
Back
Top Bottom