Buriani Barry Mwaga

Buriani Barry Mwaga

Ukweli1

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
550
Reaction score
333
Barry it is exactly 12 days since you left, I told myself it is not true I am dreaming. I have been holding my tears but today I have failed. I am crying and I am going through your messages and the conversations we had. I can't seem to understand why now? Why Barry? And your kids? And your mum? your twin? and your brother? God forgive me because I don't understand your ways but I believe your words. Nimekukumbuka sana ucheshi wako, upendo wako kwa watoto wako, kujali kwako ndugu na watu kwa ujumla.

Ugomvi wetu siku zote Barry pumzika na ulikuwa unajibu niko mwenyewe nafanya kazi za baba na mama. Sasa Barry umepumzika moja kwa moja pembeni ya mkeo. Naumia na hawa watoto nikiangalia picha zao, eehe Mungu nakuomba umpe nguvu Mama na wote wanaohusika katika hili. Uwajalie Kifedha kusomesha na kulea hawa watoto zaidi ya yote wafariji Mungu. Barry nalia mwenyewe hapa kazi hazifanyiki nitakukumbuka ucheshi wako, ukipiga simu ni mpaka izime for low battery ndio maongezi yanaisha. Mungu nakuomba unifundishe kuhesabu siku zangu.

"Sometimes you will never know the true value of a moment until it becomes a memory"

In loving memory of my friend Barry Daimon Mwaga.
 
Lord you are my God, I rely on You, I put my hope in things not seen, Your promises all true, Always you're with me, Your hand will lift me, My trust is in your hands, Always you're with me, Your hand will lift me, My trust is in your hands
 
Last edited by a moderator:
Aisee, pole sana mkuu. Ni vigumu kuukubali ukweli huu, lakini siku moja wote tutatoka hapa, kwa vyovyote vile. Mungu akupe uvumilivu, and may he and his wife RIP
 
Poleni sana!
Hakuna bingwa wa kufiwa!
 
Simfajamu marehemu; ila thru my facebook connection nilijikuta naumia kuhusu kifo chake...maana rafiki yangu ali comment kuhusu kifo chake na mimi moja kwa moja nikaona facebook account yake...ambayo ilikuwa active siku chache tu kabla ya kifo chake...

Kwa mara ya kwanza nilisikitika kwa kifo cha mtu nisiyemfahamu...siku nzima nilikosa raha, hasa nikiangalia picha zake na watoto wake...

Maisha na kifo ni siri nzito sana, tusichukulie uhai tunaopewa for granted...
Huwa wakati mwingine najiuliza...hivi navyoangaika najua ni lini nitakufa...what about my kids...
Kwa kweli hakuna ajuae future yake...

RIP
 
Elezeeni vitu vizuri, wote tufahamu.
Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu.
R.I.P Barry
 
Mtoa mada na wengine sie;

Unapoleta mada kama hii dont assume kila mtu anamfahamu unayemuongelea otherwise ungepost kwenye facebook wall yake. Give intensive information for the benefit of the forum. binafsi namfahamu na hujamtendea wema Barry kwa such shallow and low info ;kama unamkumbuka basi weka wasifu yakinifu .
 
Pole sana mtoa mada, kwa majonzi matizo ya kumpoteza mpendwa wako!
 
Alikua ni UDSM alumni na mfanyakazi wa NSSF Shinyanga na mkewe alikua marehemu Alice Ruoja aliyefariki kwa ajali ya bodaboda a year ago,kwa wakazi wa Tabora watakua wanamfahamu Alice au mama yake Mrs Ruoja alishakua headmistress shule nyingi tu
 
Back
Top Bottom