umeshaletwa mkuu, sema ndio umechelewa naomba Mungu kusiwe na siku nyingine
asante sana Bulldog
Nilisoma na Alice Ruoja shule ya Sekondary kule Morogoro. Alinitangulia darasa moja . Alipokua form six mimi nilikua form five. She was such a nice lady. May her husband's soul and hers rest in perfect peace. Mungu atainua watu wa kuwalea watoto waoBarry it is exactly 12 days since you left, I told myself it is not true I am dreaming. I have been holding my tears but today I have failed. I am crying and I am going through your messages and the conversations we had. I cant seem to understand why now? Why Barry? And your kids? And your mum? your twin? and your brother? God forgive me because I dont understand your ways but I believe your words. Nimekukumbuka sana ucheshi wako, upendo wako kwa watoto wako, kujali kwako ndugu na watu kwa ujumla.
Ugomvi wetu siku zote Barry pumzika na ulikuwa unajibu niko mwenyewe nafanya kazi za baba na mama. Sasa Barry umepumzika moja kwa moja pembeni ya mkeo. Naumia na hawa watoto nikiangalia picha zao, eehe Mungu nakuomba umpe nguvu Mama na wote wanaohusika katika hili. Uwajalie Kifedha kusomesha na kulea hawa watoto zaidi ya yote wafariji Mungu. Barry nalia mwenyewe hapa kazi hazifanyiki nitakukumbuka ucheshi wako, ukipiga simu ni mpaka izime for low battery ndio maongezi yanaisha. Mungu nakuomba unifundishe kuhesabu siku zangu.
Sometimes you will never know the true value of a moment until it becomes a memory
In loving memory of my friend Barry Daimon Mwaga.
Jamani Huyo Mrs. Luoja ni kama amefariki mwaka huu April?
google....Umejitahidi kujibu swali lakini jibu lako si sahihi...
Nilitaka kupatiwa wasifu wa marehemu mkuu...
Barry it is exactly 12 days since you left, I told myself it is not true I am dreaming. I have been holding my tears but today I have failed. I am crying and I am going through your messages and the conversations we had. I cant seem to understand why now? Why Barry? And your kids? And your mum? your twin? and your brother? God forgive me because I dont understand your ways but I believe your words. Nimekukumbuka sana ucheshi wako, upendo wako kwa watoto wako, kujali kwako ndugu na watu kwa ujumla.
Ugomvi wetu siku zote Barry pumzika na ulikuwa unajibu niko mwenyewe nafanya kazi za baba na mama. Sasa Barry umepumzika moja kwa moja pembeni ya mkeo. Naumia na hawa watoto nikiangalia picha zao, eehe Mungu nakuomba umpe nguvu Mama na wote wanaohusika katika hili. Uwajalie Kifedha kusomesha na kulea hawa watoto zaidi ya yote wafariji Mungu. Barry nalia mwenyewe hapa kazi hazifanyiki nitakukumbuka ucheshi wako, ukipiga simu ni mpaka izime for low battery ndio maongezi yanaisha. Mungu nakuomba unifundishe kuhesabu siku zangu.
Sometimes you will never know the true value of a moment until it becomes a memory
In loving memory of my friend Barry Daimon Mwaga.
Mtoa mada na wengine sie;
Unapoleta mada kama hii dont assume kila mtu anamfahamu unayemuongelea otherwise ungepost kwenye facebook wall yake. Give intensive information for the benefit of the forum. binafsi namfahamu na hujamtendea wema Barry kwa such shallow and low info ;kama unamkumbuka basi weka wasifu yakinifu .