barabaraya18
Senior Member
- Sep 18, 2006
- 106
- 8
Tusiojua islamic law hatuwezi kupinga unayosema. Hata hivyo jambo hili lilichambuliwa na mwandishi mmoja katika gazeti la Majira hapa na kuonekana kuwepo kwa possibility kuwa talaka aliyopewa ni separation ambapo atakaa eda kwa miezi mitatu wakati wakijaribu kusuluhisha tofauti zao. Endapo katika miezi hiyo mitatu watashindwa kabisa kumaliza tofauti zao, ndipo talaka hiyo inakuwa divorce na hapo hawawezi kurudiana tena; ila wakiweza kumaliza tofauti zao, wanaweza kurudiana wakati wowote kabla ya hiyo miezi mitatu.
Ndiyo, ninafahamu hivyo.
Inaonekana statement yangu hiyo imeonekana kuwa awkward kwa vile niliondoa sentense moja mbele yake iliyokuwa inasema "Mazishi yalifanyika kwa babu yake marehemu upande wa mama ambaye ni mkiristo." nikaweka ile ya "Jina la mama yake ni "Juliana Mbanga.""
Marahemu mwenyewe wakati wa uhai wake alichagua kuwa kuwa akifa azikwe pale. Alifanya hivyo akiwa na mumewe. Soma habari kamili hapa HabariLeosasa in this case kiislam je AMINA lizikwa kwa ubini wa MAMA YAKE (JAPO SI MUISLAM ) au BABA YAKE AMBAYE NI MUISLAM?
Barabara, wewe ulitaka wakristu wasiende hapo na ukatuwekea picha ya masista. Kwa maneno mengine ulitaka kuashiria kuwa ni waislamu pekee waliotakiwa kuwepo msibani. Ndio sababu mimi nikauliza suala la dini ya mama yake. Hivyo, nakushauri utoe ile picha pale kwani kusudio lake ni kuleta mambo ya udini. Ingekuwa hoja kubwa zaidi kama katika swala zile mkristu naye angetakiwa kuombea maiti. Hilo pia siyo kubwa zaidi kwani walipokufa viongozi wa kikristu na kiislamu watu wamadhehebu mbalimbali wanaalikwa kutoa sala zao zile za hadhara.
Wote tunajua Amina alikuwa ni muislamu na alizikizwa kwa desturi za kiislamu ambayo ni haki yake (unless kama angekuwa amebadili dini). Lakini swala la wakristu kuwepo msibani ni haki yao na hakuna cha kutumia neno la "UGALA" ili kuonesha hisia zako kwa watu wenye dini tofauti na wewe.

Kuna taarifa kuwa waislam wamekuja juu baada ya waGALA kuingilia shunguli nzima ya kumzika Amina ambaye leo ni siku ya Pili hajazikwa. Kuna taarifa kuwa kulikuwa na mipango ya kuipeleka MAITI Dodoma kisha ikazikwe kijijini kwao
Lawama zaidi zimepelewa kwa Baba yakle Amina ambaye anaonyesha kila dalili za ku CAPITALISE msiba wa mwanae kwa ajili ya Political ambitions zake kwa kukubali kuburuzwa na mijitu ya serikali.Huyu mzee japo ni Muislam lakini ajabu ni kwamba anakubali kupelekwa pelekwa ili kuwafurahisha waGALA ambao wanaongoza huu msiba kupitia magazeti,ma TV na kadhalika
jamani ndugu, naombeni tusilete mambo ya udini plz plz plz plz !! halafu wewe barabara ndio umeanzisha haya mambo, najua kila mtu ana haki ya kutoa comment yoyote, lakini tuangalie isije ikaleta hisia mbaya hapa ! wakristo na waislamu ukiangalia vitabu hivi viwili havina tofauti kubwa sana esp. old testament na quran. jamani tuacheni mambo ya udini plz.
waGALA ni watu wa CCM na serikali ambao wanacontol BAKWATA na SHEKHE MKUU
oh kumbe... sasa ile picha ya wale masista inahusiana vipi....help me out halafu nitakuacha
oh kumbe... sasa ile picha ya wale masista inahusiana vipi....help me out halafu nitakuacha