Mwenyezi mungu amlaze mahala pema. Mswahili una radhi za marehemu kwa kusimama kidete kutetea haki na kumpigania marehemu. tunakushukuru kwa kutuwahishia habari mapema.
damn, yaani siamini. ni ghafla mno kwa kijana aliyeanza political career yake, kafariki mdogo sana, mtoto wake, familia yake, plans zake na kadhalika. hapa kuna mchezo umefanyika.
Hizi ni habari za kusikitisha sana, naomba tuache kunyoosheana vidole, hatuwatendei haki wazazi wa marehemu, mume (aliekuwa) mtoto na ndugu zake kwa ujumla.
Tuwapeni privacy wafiwa tukianza kumtafuta mchawi hapa ni sawa na kuongeza machungu kwao. Kweli kuna uhuru wa maoni lakini tujizuie ktk kipindi hiki kigumu na tujumuike kuwafariji wafiwa.
"Hakika kwake (Mwenyezi Mungu) sote ni wenye kurejea" nawapa pole familia, ndugu na jamaa wa Amina Chifupa, bila kumsahau mtoto wake Abdulrahman ambaye ni yatima hivi sasa.