Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
bwana emanuel nchimbi, je una la kuongeza?

Je jk aliamua kumtosa tuu huyu dada yetu hivi hivi?
 
really ? inna lillahi wainna illahi warajioun. Allah amlaza mahala pema peponi. Kuna mchezo hapa utakuwa umefanyika
 
Mwenyezi mungu amlaze mahala pema. Mswahili una radhi za marehemu kwa kusimama kidete kutetea haki na kumpigania marehemu. tunakushukuru kwa kutuwahishia habari mapema.
 
damn, yaani siamini. ni ghafla mno kwa kijana aliyeanza political career yake, kafariki mdogo sana, mtoto wake, familia yake, plans zake na kadhalika. hapa kuna mchezo umefanyika.
 
Mungu ailaze pema roho ya Marehemu peponi, amen. Mwanakijiji aliwahi kugusia hali ya marehemu na hatima yake, tukamwona mwenda wazimu.
 
Hizi ni habari za kusikitisha sana, naomba tuache kunyoosheana vidole, hatuwatendei haki wazazi wa marehemu, mume (aliekuwa) mtoto na ndugu zake kwa ujumla.

Tuwapeni privacy wafiwa tukianza kumtafuta mchawi hapa ni sawa na kuongeza machungu kwao. Kweli kuna uhuru wa maoni lakini tujizuie ktk kipindi hiki kigumu na tujumuike kuwafariji wafiwa.

Ni ombi tu anyway....
 
"Hakika kwake (Mwenyezi Mungu) sote ni wenye kurejea" nawapa pole familia, ndugu na jamaa wa Amina Chifupa, bila kumsahau mtoto wake Abdulrahman ambaye ni yatima hivi sasa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom