Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

Mimi nafikiri ni sahihi kusema Tanesco Mikocheni, ndio watu walivyozoea kupaita. Kituo kinaitwa Chama, unapanda mabasi ya kawe. Muhimu utuambie mtu akishuka hapo anaelekea upande gani na hosp inaitwaje. Maana unatuacha tu hewani tukishika hapo hatujui tuelekee wapi.

Asante kwa hilo.

Kituo chetu cha afya kinaitwa Eternal International Biotechnology (Tanzania Branch).

Ukifika TANESCO, unafata njia inayoingia ndani kuelekea Msasani, hapo pembeni ya TANESCO ile ya zege ukifika mwisho wa zege kwenye kona ya kwanza mkono wa kushoto, ndiyo hapo hapo nyumba ya kona, utaona bendera bendera za ufunguzi getini.

Karibu sana. Kabla hujaenda ni PM nikupe namba ya appointment.

Asante
 
Hongereni sana kwa kujitolea na shukrani kwa taarifa. Nina mashaka kuhusu privacy maana naona slowly watu wanaanza kutoka mafichoni 'Anonymity' isije kuwa mko kwa row call..

Nafikiri ingetosha kusema siku na muda huduma inapotolewa watu waje kuchukua namba au kupata huduma kati ya siku tajwa.
 
Hakuna tatizo hatuulizi jina la mtu tunakupa namba hata ukitutumia sms bila ya kuuliza jina lako. Usiwe na wasi.
 
Eeeeh mwanamke una mambo wewe, mbona hujanijulisha kuhusu hili?
 
Eeeeh mwanamke una mambo wewe, mbona hujanijulisha kuhusu hili?

Wewe Bi Faiza naona zile bangi zako unazochanganya kwenye udi wako zinakudhuru. Unakuwa "punguani" si kidogo.

Ngoja nikuitie Pasco ndio mnawezana.

Nipigie ukipata nafasi nikupe namba ya appointment ukapime, tena nitawaambia wakupime kichwa.
 
Fursa ya kupima bure inaendelea, kesho Alhamisi na Jumamosi ni siku za kupima. Wahi ujuwe afya yako.

Tuma pm nikupe namba ya appointment.
 
Tumia fursa ukapime afya yako bure.

Hii ni introduction ya kituo kipya cha tiba. Kipo nchi nyingi Afrika na duniani.

Usiogope. Pitia hii webisite ujionee: Eternal International

Tuna promote Health Wealth Peace Love.

Baada ya kufuata link nimekuelewa atleast nahisi ilibidi uiweke tangia mwanzo watu wangekuelewa vizuri sana hivyo kupunguza maswali.
Ahsante, ni PM appointment # yangu.
 
Baada ya kufuata link nimekuelewa atleast nahisi ilibidi uiweke tangia mwanzo watu wangekuelewa vizuri sana hivyo kupunguza maswali.
Ahsante, ni PM appointment # yangu.

Tayari tumekutumia kwa PM.

Asante.
 
Wewe Bi Faiza naona zile bangi zako unazochanganya kwenye udi wako zinakudhuru. Unakuwa "punguani" si kidogo.

Ngoja nikuitie Pasco ndio mnawezana.

Nipigie ukipata nafasi nikupe namba ya appointment ukapime, tena nitawaambia wakupime kichwa.

We mwanamke huna shukrani wala huna hisani, udi nimekupa na ukausifia mzuri leo yamekuwa hayo? Mbona ulijifukizia ukanambia Mzee Abduli kaupenda? nyooo!

Nnakuja Jumamosi, unipeleke huko kwenye hicho kituo nikapime, niwekee namba yangu kabisa tena sitaki story za sina nafasi sijuwi nipo busy.

Halafu koma kuniitia hilo jitu lisilo na adabu.
 
Njoo tu twende nitakungoja usinicheleweshe."punguani wahed".
 
Njoo tu twende nitakungoja usinicheleweshe."punguani wahed".

Will be there count me in, nnakuja na watu watatu please tuwekee wote nafasi. Mie nnautaka huo msofa wa masaji Amsterdam Airport niliulipia Euro 3 ukaninogea niaongeza tena mara ya pili.

Punguani mumeo Mzee Abduli.
 
Hahaha, tuna promote kituo kipya cha tiba, ukikijua siku za usoni unaweza kuwa mteja wetu.

Tumia fursa ukapime afya yako bure.[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif] [/FONT]Hii ni introduction ya kituo kipya cha tiba. Kipo nchi nyingi Afrika na duniani.
Usiogope.

Pitia hii website ujionee:
Eternal International

Tuna promote Health Wealth Peace Love.

Karibu sana.

Tunatumia ID za bandia halafu unataka tujitokeze wakati Mimi personally kahtaan kaahidi kuniua?
 
Tunatumia ID za bandia halafu unataka tujitokeze wakati Mimi personally kahtaan kaahidi kuniua?

Huna haja ya kujitokeza usiwe na wasi wasi tuma sms 0756803528 andika nataka namba ya appointment, tunakutumia no questions asked.
 
Back
Top Bottom