Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Hakuna kitu chenye umuhimu kwetu binaadam zaidi ya afya zetu. Afya njema haina thamani ya kuinunulia (priceless). Usione taabu wala uvivu kupima afya yako. Sasa una fursa ya kupimwa bure kabisa, itumie fursa hii kama unajijali.
Kupima afya yako si lazima uwe mgonjwa au unaumwa, tunaweza kujiona tuko fit kabisa lakini kumbe kuna vijimaradhi vinatunyemelea na hatujui. Njia rahisi kabisa ya kujua afya zetu ni kupimwa mara kwa mara kitaalam.
Hii ni fursa kwa kila anayeijali afya yake. Kituo kipya cha afya kinachopima afya ya mwili wako wote (whole body checkup, bure bila kulipia, kimeleta offer hii ya muda. Na vipimo ni vya kisasa na kwa njia ya computer.
- Utapimwa bure.
- Utapewa ripoti yako bure.
- Utapewa ushauri wa bure.
Na wakati unasubiri au baada ya kupimwa, unaweza kuchukua fursa ya kuchuliwa mwili wako na kochi letu kuchuwa (massage sofa) bure.
Unachotakiwa ni kuwasiliana nasi kwa PM kwa maelezo zaidi au mpigie simu Mzee Abdul 0756803528 atakupatia namba ya appointment.
Asante.