Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

Wadau nipo kituoni hapa, nimepokelewa vzr na dada Rahma ni mtu mcheshi sana, kwa hakika nategemea huduma nzuri kutoka hapa.
 
...ninachohitaji ni vipimo tu, nikaambiwa subiri. Baada ya muda mchache nikaambiwa nikakae kwenye foleni ya kwenda kwenye vipimo. Ilipofika zamu yangu nikaenda kwenye chumba cha vipimo. Nikapimwa urefu na uzito then nikaenda kwenye mashine ya...
 
...vipimo vya mwili mzima vinavyotumia kopyuta. Ilichukua dakika chache nikapata majibu nikaenda kwa daktari, daktari akanieleza maradhi yangu kisha akaniandikia dawa. Nikarudi dirishani kujua itanigharimu Tsh ngapi, ila dah! mibei kaka!!!
 
kwenye matibabu na dawa ndio janja yao...
 
kwenye matibabu na dawa ndio janja yao...

Ndugu yangu hakuna ujanja, sisi tunatangaza kituo chetu kipya ingawa tuna sisitiza ununue dawa zetu kama utaonekana una chochote cha kuhitaji dawa baada ya kupimwa lakini si lazima ununuwe dawa zetu.

Ninapenda kusisitiza tu kuwa dawa zetu zina viwango vya hali ya juu Kimataifa na zinakubalika duniani kwenye vituo vyetu vingine na ni nzuri zimesaidia wengi sana.

Unaweza kupitia website yetu ukajionea vituo vyetu viko wapi kwingine duniani na vinaendelea kuongezeka: Eternal International

Karibu sana upime afya yak na usiwe na wasi.
 
Tofauti yenu na GNLD au naturaltherapists ni ipi?

Nimewahi kuwasikia GNLD ila sijui wanafanya shughuli zipi. Hao wengine ndio leo ninawasikia mara ya kwanza kutoka kwako. Siwezi kuwaongelea na kufananisha tofauti yetu kwa kuwa sielewi kazi zao.

Ukitaka kujua zaidi kuhusu sisi unaweza kutembelea website yetu: Eternal International

Pia sisi tumeanza kama kituo cha tiba lakini tunategemea kuwa hospitali kamili baada ya muda si mrefu sana. Mfano mzuri ni hii hospitali tulioaianzisha Luanda, Angola, Unaweza kuisoma hapa:Eternal International
 
mnapima kwa CT SCAN?

Kwa hivi sasa bado hatujaanza kupima kwa CT scan ingawa CT scan tayari tunayo, tanangoja vibali vya TFDA kwa ajili ya CT Scan na itakapokuwa tayari nitawajulisha.

Kwa sasa vipimo vyetu ni "800 automatic biochemical analyzer of America" na siku za usoni tunategemea kufunga vipimo zaidi kama, double spiral CT scanner, 500MA multifunctional digitized gastrointestinal machine, Kodak CR digital tablet, X-ray imaging system, Philips HD color doppler ultrasonography, automated blood cell analyzer, 800 automatic, coagulometer, electrolyte analyzer, chemiluminescence analyzer, automated urine dry chemistry analyzer and many others.

Karibu sana.
 
Nimefika pale mida ya saa 4 asbh, nikaambiwa kukaa kwenye kochi la massage ni lazima ununue soksi mpya hapohapo, bei ya soksi ni Tsh 2000. Nikawaambia mi sihitaji hiyo kitu...

Ni kweli kabisa, ikiwa utapenda kufanyiwa massage kwenye sofa letu la massage kama ulikuja bila kuvaa soksi basi tunakushauri ununue hapo hapo kwetu soksi ili ufanyiwe sofa massage bure. Hiyo ni kwa sababu kubwa mbili, kwanza lile sofa linakukanda mpaka nyayo na imetokea watu wengine wapo sensitive kwenye nyayo zao kiasi huwa anatekenyeka kirahisi kwenye nyayo na inasababisha embarrassment. Na pili ni hygienic reasons.

Ukija tena tunakushari uje na soksi zako na hautoulizwa kununua hapo.

Asante kwa kufika.
 
Nimefika pale mida ya saa 4 asbh, nikaambiwa kukaa kwenye kochi la massage ni lazima ununue soksi mpya hapohapo, bei ya soksi ni Tsh 2000. Nikawaambia mi sihitaji hiyo kitu...

Ishu ya kuvaa soksi siolazma ununue ukienda na zakwako wala huulizwi pia ninzuri kiafya bwashee kwanamna inavyofanya kazi wengine wanasweat miguu..mimi binafsi nimelalia hlo sofa ni zuri kwakweli na vipimo pia viko vizuri,.
Kwakweli ile checkup mi nilikua naonaga kwenye movie tuu😛(the Nuty professor) nimeinjoy na ninejua nasumbuliwa nanini,nimependa huduma inatolewa kwa kuzingatia foleni bila upendeleo naomba waendelee hivyo,.mwisho niwapongeze watoa huduma woooote kwa ukarimu wao
hasa Salma na yule dada mnene wa hijaab bila kumsahau mkarimani wetu na Happy..
 
Huyo atakuwa ni Rahima.

Asante sana na karibu tena.
 
Sasa Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: Unatokwa na Nywele? Una Kipara? Jionee maajabu ya...'
 
Back
Top Bottom