Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #21
Mnatibu meno?..
Tafadhali ningependa orodha ya huduma mtoazo kituoni kwenu..
Tuna dawa za kutibu matatizo ya meno na kinywa lakini kwa sasa hatuna kitengo cha meno (Dentistry or Stomatology).
Baadhi ya huduma za tiba zetu kwa sasa ni; kisukari, presha , uzito kupita kiasi, matatizo ya mifupa, mafuta kuzidi katika mwili, vidonda vya tumbo, kutopata choo, kiharusi, kupooza, kinga kushuka mwilini, maradhi ya ngozi, mwili kudhoofika, n.k.