Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

CCM College Ihemi
Mbigili Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] kwa wale wanaohoji haya matusi na utovu wa nidhamu wa wabunge unasababishwa na nini, ambao wanataka majibu tembeleeni tovuti ya bunge wwww.parliament.go.tz au kwa kucheck elimu ya mwenye matusi yasiyochujwa ndg Lusinde wa mtera ni,Parliament of Tanzania ambapo nimekopi kipande cha elimu na uzoefu tu nikaanza kucheka saaana. halafu leo anataka kuwekwa kwenye kamati za bunge duuuh!!!!

EDUCATION
[/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Certificate[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant
CHADEMAMember - National Executive Board
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]

Hivi mbunge mwenye elimu kama hii anaweza kweli kusoma na kuelewa mikataba ya kimataifa endapo itakuwa inapelekwa bungeni?Hata hizo sheria zilizoandikwa kwa lugha ya kingereza kweli anaambulia kitu au ndio kuishia kusema ndio bila hata kusoma na kuelewa kilichoandikwa?

Katiba mpya lazima iweke viwango vya elimu vya kuridhisha kama sifa ya mtu anaetaka kugombea ubunge, vinginevyo nchi hii tunaipeleka kuzimu.
 
1. MWIGULU 2. LUSINDE. Ukiwaangalia na kusikia maneno yao utagundua kuwa huenda hawana akili timamu maana hata kama kunajadiliwa hoja ya msingi, wao wataibuka na matusi tu, sijui wapiga kura wao wanalisemeaje hilo? wabunge wa CUF nao wanalamba visigino...
 
1. MWIGULU 2. LUSINDE. Ukiwaangalia na kusikia maneno yao utagundua kuwa huenda hawana akili timamu maana hata kama kunajadiliwa hoja ya msingi, wao wataibuka na matusi tu, sijui wapiga kura wao wanalisemeaje hilo? wabunge wa CUF nao wanalamba visigino...

Si kidogo ni mzigo mzito!! wengine:
Stella Manyanya;
Juma Nkamia;
Shekifu
 
sababu ya uongozi incompetent wa spika na wenyeviti wake wote.
 
  • Thanks
Reactions: SQL
Simple solution Spika asitokane na Chama chochote ile aweze kusimamia kanuni bila kuona haya, maana tatizo ni Spika na Naibu Spika na Wenyeviti. thanks again Tetty sikua nimesoma maelezo yako nimekua kama nimekopi na kupaste.

Tunapokuwa tunajadili hoja za msingi unahaki ya kuongeza ambacho sikuwa nakifikiria.Kama hapa ulivyoweka ni kweli kabisa tunahitaji Spika na naibu spika wasiotokana na chama na pili wawe wanasheria.Na ikibidi wafanyiwe vetting kama mahakimu wa Kenya itasaidia kupata viongozi wabunge waliomakini.Tusisahau na kifungu cha kuwafukuza pale wanapoonekana kushindwa kazi yao.Asante kwa point ya nyongeza
 
CCM College Ihemi
Mbigili Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] kwa wale wanaohoji haya matusi na utovu wa nidhamu wa wabunge unasababishwa na nini, ambao wanataka majibu tembeleeni tovuti ya bunge wwww.parliament.go.tz au kwa kucheck elimu ya mwenye matusi yasiyochujwa ndg Lusinde wa mtera ni,Parliament of Tanzania ambapo nimekopi kipande cha elimu na uzoefu tu nikaanza kucheka saaana. halafu leo anataka kuwekwa kwenye kamati za bunge duuuh!!!!

EDUCATION
[/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Certificate[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1980[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant
CHADEMAMember - National Executive Board
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]

[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
This is Lusinde he thinks politics is insults the same malechele was removed by the peoplle of Mtela will he be voted out
 
Nimeamini yale aliyoyasema Ngugai kuwa baadhi ya Wabunge wanaingia bungeni wakiwa wamevuta bhangi! Hali inayoonekana bungeni kwa sasa inawezekana wabunge wengi wanavuta bhangi maana matusi wanyoporomosha bungeni huwwezi amini kama ni maneno yanayoweza kutamkwa na mtu mwenye kujiheshimu na mwenye akili timamu. Hivi hakuna dr wa bunge ili awapime na tujulishwe kuhusu wabunge walikosa sifa za kuitwa wabunge kutokana na kurukwa na akili?
Hahaaa....kama wamekuwa wakiwachagua vichaa tangu 1961 kitawashinda nini kuendelea kuwachagua wendawazimu? Think big madam!

 
wakuu, kutokana na yanayojiri bungeni hivi sasa, ni wazi na ni ukweli usio na shaka kwamba bunge limepoteza hadhi yake...udini, matusi,lugha chafu ndio sifa ya bunge letu hivi sasa...

maoni ambayo nayasikia waheshmiwa wabunge wakiongea hivi sasa hapa nje ya ukumbi wa bunge wanasema ni heri bunge livunjwe ama liache kuonyeshwa live kwa sababu yanayoendelea hivi sasa ndani ya bunge yanaligawa taifa vipande vipande.

my take....namkumbuka bab wa taifa mwalim JULIUS KAMBARAGE NYERERE..uongozi wa bunge na serikali wachukue hatua kulinda heshima ya nchi yetu..NAKEMEA UDINI
 
Akili yako ndio inakutuma kwamba, "LISIPO ONYESHWA LIVE NDIO BUSARA ZA NDUGAI NA MAKINDA ZITA KUWEPO"? Au wabunge wa MAGAMBA watakuwa na akili ya kujadili kile waTanzania walicho watuma?

Peleka hoja zako mfu kwa wana MAGAMBA wenzako huko Lumumba.
 
Ni lazima lioneshwe live kwa kuwa wanalipwa kwa kodi zetu and we would like to see how they conduct themselves so that we may treat them as it may deem fit in 2015.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nikimwangalia Spika wa Bunge, ni mtu ambaye anasali sana, mcha Mungu, na anayemuogopa Mungu. Mwenendo wa bunge la jamhuri wa muungano wa Tanzania ambalo linaongozwa na yeye huku ndani likiwa limesheni akina baba, mama na kaka wa nchi hii ninashindwa kabisa kuamini huyu ndiye Makinda ninayemfahamu kiima au ni mwingine. Inakuwaje ujipambanue kuwa ni ni mcha Mungu wakati unashabikia matusi na lugha ambazo sio tu sio za kiungwana bali hata katiba na kanuni za bunge inazikataza. Utawezaji kufuata mafundisho ya Mungu wakati kusimamia haya ya mwanadamu unashindwa?

Lugha chafu na za matusi ambayo si mazuri kwa jamii yeyote vimekuwa ndio mtindo wa matumizi ya lugha bungeni. Sioni ni kwanini mpaka leo kuna wananchi wameshitakiwa mitaani kwa matusi na ama wako jela au wanalipa faini. Kwanini wasiachiwe huru kama ndani ya hansard za bunge kuna maneno makali na matusi ya nguoni?? Bunge limekuwa ndio chuo cha matusi.

Hatuwezi kuendelea kama bunge litakosa heshima, staha, na weledi.

Ninaomba bunge la Tanzania liache mara moja kuapa kwa kutumia vitabu vitakatifu vinavyotumika kwenye dini zetu hapa nchi, kwani hakuna maana yeyote ya wabunge wetu kujipambanua wana weledi na imani za dini tunazofuata mle ndani ni ushetani tu.

Udini unatangazwa kwa uwazi kabisa vinara wa udini wanawekwa hadharani, ila bila ubishi vinara wa udini ni serikali ya CCM na hasa Ikulu. Waliliaasisi na wameshindwa kulikemea. Uchaguzi wa mwaka 2005 wakitumia kete ya udini chama cha mapinduzi kiliingiza swala la Mahakama ya kadhi ili kukidhi mahitaji ya kura kwa waumi husika. Kujua walikuwa wakitumia udini kushinda, JK alinukuliwa akisema asilaumiwe kwa mahakama hiyo kwani yeye hakuandaa sera za CCM alizikuta.

Vikundi ambavyo vinatukanana kwa misingi ya dini vimeachwa kushamiri kwa mtizamo wa kuwaamsha wananchi kwa kushambuliana kiimani. Huku kumekuwa kukienezwa chuki, utengano na uhasama sasa imefika kwake na bungeni imeingia kama kitaa.

Udini sio swala la kushabikia wala kukebihi ni swala nyeti. Wabunge wangetumia busara kuelimisha jamii na kuwafanya watanzania wajione wamoja na dini ni sehemu muhimu tu ya kumjua Mungu na kumfuata.

Leo kwa kuegemea chama chake Mama Makinda ameacha kabisa yale anayofundishwa huko anakosali na kuwa kiongozi hovyo kabisa na kukosa kuwa kioo cha haki, upendo, amani na utu. Kweli ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mwana CCM.

Matusi, kashfa, jazba zinazoendelea bungeni ni ishara tosha kuwa hatuna wabunge, hatuna taoifa hatuna mama wala baba mle ndani bali tuna genge la wahuni waliokusanyika dodoma na kuchoma kodi zetu. Naomba kabla sijatolewa kucha na meno niambiwe kunatofauti gani ya wahuni na wale wabunge watoa matusi, kashfa, na waonevu. Spika yuko Tayari kuacha mbunge wa CCM kutukana matusi ya ajabu kama f**k u na kumwacha Mbunge huyo kuendelea kuongea eti kwa vile ni wa CCM.

Makinda na Ndugai hakuna sababu ya ninyi wawili kwenda kwenye Nyumba za Ibada mnakatisha sana tamaa. Mmekosa weledi sio tu kuliongoza bunge bali familia zenu. Je kweli mkikuta watoto wenu wanatukana lile tusi mtawafokea au wajukuu zenu?? Akikwambia nimesikia kutoka kipindi cha bunge na wewe ulikuwa kiongozi utasema nini??

Aibu yenu.
 
Hapana lisivunjwe.Wakikua wataacha,tuwavumilie tu.Kiti cha spika wameanza kujirekebisha.
 
Liendelee kuoneshwa live na radio zirushe bila chenga; tunahitaji kujua kinachoendelea hata kama ni matusi ya nguoni; ili tuweze kujua mbivu na mbichi.

Aliyevishwa viatu vya kuongoza bunge vinampwaya; angeling'atuka ingelikuwa kheri kwa taifa hili. Ni maoni yangu.
 
Back
Top Bottom