Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

Bila katiba mpya ambayo ni balanced diet, hakuna linaloweza kufanyika. mihimili yote ya dola inawajibika kwa serikali. yaani supervisor anaripoti kwa subordinate.
 
Mimi nashauri hawa wabunge wapimwe kwanza kama wamekunywa au kuvuta bangi kabla hawajaingia bungeni.Mtu kama Lema anajiibukia na kutupia Chama na Serikali kwamba waanzishi wa udini.Mtu kama huyu hayuko sawa
 
Bungeni tumepeleka wasinziaji na wagawa rushwa, kama chenge, lowassa na jnhn komba. Wabunge halali ni wa chadema na nccr tu, wengine ni wazugaji tu!
 
Mimi nashauri hawa wabunge wapimwe kwanza kama wamekunywa au kuvuta bangi kabla hawajaingia bungeni.Mtu kama Lema anajiibukia na kutupia Chama na Serikali kwamba waanzishi wa udini.Mtu kama huyu hayuko sawa

uelewa wa Lema ni mara 1,000,000 ya akili yako
 
Ninachoona kuna makosa pande zote ila ikitoka adhabu inaenda upande mmoja. Hii imekaaje
 
Tunatakiwa tuwaambie wabunge wetu wajiuzuru maana hawako kwa ajili yetu.wako kwa ajili ya vyama vyao.
 
Kwa kweli watanzania wenzangu kwa nilichokishuhudia leo bungeni ni huzuni kubwa kwetu wananchi na nchi yetu.kwa hali ya leo ilivyokuwa bungeni ni dhahiri hatuna bunge kwa sasa.Na hii yaweza kuwa ni laana ya mh. S.SITTA.MIA!
Mie nimepita stage ya kuhuzunika na sasa wananitia HASIRA tu!! But again I wonder, ina maana hata wazee wamekata tamaa na wanashindwa kukemea huu upuuuzi! Yaani ningetamani hata leo wasiendelee na hilo Bunge kwanza ili wajadili on way forward maana for now wote wamepoteza muelekeo
 
Ndugu Watanzania,

Mimi Binafsi ni msomi , daktrari mwenye masters degree mbili. Nimebahatika kusoma nje na ndani ya nchi. Pia nimefanikiwa kuishi nchi mbali mbali zilizoendelea.Kwanini ninatanguliza hizo statements? Najaribu kuonyesha kwamba kidogo nina uwezo wa kulinganisha siasa za nchi yetu na nchi mbali mbali pia nina uwezo wa kulinganisha fikra za wananchi wetu kama citizens na wanachi wa nchi nyingine zilizoendelea na zisizo endelea.

Binafsi nasikitishwa saaana tena saaana na hoja za wabunge bungeni. Sitoongelea upande wowote kwa sababu sina chama na sijawawahi kuwa na chama nchi hiii kwa sababu ya kutoamini upeo wa siasa za nchi hiiii.
Kinachoshangaza , wengine wana shule ila naanza kutia mashaka ni viwango vya shule walizosomea, au ni kwa njia zipi walikuwa wanatahiniwa kupima uelewa wao kimasomo, au ni zile degree za ujanja ujanja tuu, au basi tu masomo ya darasani hayajawasaidia kuchanganua hoja ( Poor analytical thinking).Msomi anatakiwa kuwa na uwezo wa kufikiri nje ya boksi( Thinking out of the box), Msomi anatakiwa aweze kujitofautisha na yule ambaye hajasoma ( Ellite VS Illiterate).

Nashauri hawa the so called wabunge...kwanza siwezi kuwaita waheshimiwa hata siku moja maana mawazo yao hayasupport hiyo heshima. Nawashauri , shambulieni agenda , tena kwa kutumia data zaidi, acheni kushambulia mtu (dont attack a person neither their personality), attack the agenda with evidence).Na nathubutu kusema , yule anaye shangilia tabia mbovu za baadhi ya wabunge wenye kutukana na kutumia maneno ya kudharirisha bungeni badala ya kuchangia agenda ni sawa mbumbu mbumbu hasiyejua kusoma na kuandika. Mwishowe wewe na huyo mbunge unayemshangilia hakuna hata chembe moja ya kumsaidia Mtanzania aondokane na umaskini. TOENI MAWAZO NAMNA GANI TUNAWEZA KUISAIDIA HII NCHI IONDOKANE NA UMASKINI , THAT IS OUR TOP AGENDA .WEWE KAMA MTANZANIA UNAPOAMKA ASUBUHI UMECHANGIAJE KUJISAIDIA WEWE MWENYEWE, FAMILIA YAKO ,NA NCHI KWA UJUMLA KUJIKWAMUA NA UMASIKINI? ask that question , what should you do to have a better a life ? Hayo mengine yote ni blaa blaaa tupu
 
  • Thanks
Reactions: SQL
Dawa ni kuwafukuza wabunge wote....mchakato uanze upya kwanza wabunge wange kuwa wanaamplly hii position kama tunavyo apply kuomba kazi nyingine yoyote...ili ipatikane nafasi ya scrutinization kuanzia tabia mpaka viwango vya elimu
 
Back
Top Bottom