Mtu asikudanganye UHUNI unaoendelea bungeni ni mkakati maalum wa wenye madaraka kujaribu kuharibu mijadala inayohusisha upimaji wa uwajibikaji wao. Kianchoendelea ni kudivert attention ya kujadili mambo nyeti badala yake matusi, miongozo, nidhamu na maadili. Hatukuwapeleka wabunge Dodoma kufanya vikao vya nidhamu na maadili na miongozo. Tuliwapeleka kujadili mambo nyeti ya kitaifa, kusimamia serikali na kuwasemea wananchi juu ya kero zinazowakabili ktk maeneo yao.