Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
They reflect the society maana ndio inayo wapeleka huko bungeni. Kwa maana taifa letu jimejaa............
They reflect the society maana ndio inayo wapeleka huko bungeni. Kwa maana taifa letu jimejaa............
Nikifuatilia mijadala bungeni, nimeona mara nyingi kauli zikitolewa toka vyama vyote, chama tawala na vyama vya upinzani, kwamba tuna wabunge wapumbavu. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakichachamaa na kusema kuwaita wabunge au viongozi wa serikali wapumbavu ni kwenda mbali mno.
Najua kwamba Biblia inatumia neno mpumbavu, na ninaamini Biblia ni kitabu kitakatifu, si kitabu cha matusi. Kwa hiyo basi, kama tuna wabunge wapumbavu yawapasa wabunge walikubali hilo na kurekebisha upumbavu wao badala ya kulalamika kwamba wanatukanwa.
Labda kwanza wana Jamii Forum, kama kioo cha jamii, tunapaswa kuwaeleza hawa Wabunge wetu (nachelea kuwaita waheshimiwa, maana huwezi kuwa mheshimiwa na mpumbavu kwa wakati mmoja) mambo mawili ya msingi
1. Mpumbavu ni mtu wa aina gani.
2. Ni kauli au matendo gani ya mbunge au kiongozi yatamfanya astahili kuitwa mpumbavu?
Kweli uongozi wa Bunge ndio umelifikisha Bunge hapo lilipo leo.
Hizo ni Rationalization zisizo na msingi. Kwa hiyo weakness za Makinda ndio zinamwambia Nkamia na Sugu watukane wenzao? Kwa kifupi haya mabunge yetu mengi hayajiheshimu. Hakuna cha CDM wala CCM.Kwani hawawezi toa hoja bila matusi??Ndugu kumbuka1. ukiona familia inayumba ujue tatizo ni kiongozi wa familia2. Ukiona nchi inayumba ujue tatizo ni kiongozi wa nchi3. Ukiona Wizara inayumba ujue tatizo ni waziri husika wa wizara hiyo4. Ukiona BUNGE linayumba ujue tatizo ni SPIKA wa Bunge**Kumbuka wakati wa Samwel Sitta hakukuwa na upuuzi huu tunaouona sasa haya yote ni matunda ya CCM kwa kumweka Spika asye na uwezo ili mambo yao yaende**
Wewe zile ndoto zako ULIZOKUWA ukiota kwenda BUNGENI ndo zilishaota mbawa HATA kwenda BUNGENI KUPIGA DEKI ndo basi tena. Mbozi nawakusubiri ukawarudishie zile pesa walizokuwa wakikuchangia.