Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 197
Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.
kwa hiyo wanamaswa wamemchagua ili aende njengoni kujiombea posho na si kuwatetea wao! "ati ujira wa mwiha hautoshi tunaomba tuongozewe"! wakati wananchi wake huko maswa wanalia na bei za pamba na wengine wanakufa njaa! ajiangale mara mbili mbili huyu!