Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

Bungeni: Shibuda aongelea hatma yake ndani ya CHADEMA!

Kuhusu Wabunge kuongezewa posho (ambayo ndio chanzo cha kupishana na CDM) hujasikia? Nadhani hujamwelewa hata kidogo kwa sababu amerudia maneno yake ya baadhi ya viongozi kuwa na maslahi binafsi (ambapo amekuwa akumaanisha Zitto) na akasema wananchi wa Maswa wasitishwe na watu wanaotishia kumfukuza ambao sio vyombo vya habari bali ni viongozi wake.

unajua unaweza kuwa na hoja makini na njema, lakini mtu mwenye busara anaangalia wapi aisemee, kwa akina nani, katika mazingira gani na kwa lengo gani. Mtu kama Shibuda ambaye hajuia hayo ni wa kuogopwa, na sidhani kama watoto na mke wake anawatendea haki. jambo la kukumbukwa na kila mtanzania ni juu ya yale aliyokuwa anayasema, alipokuwa akikishutumu chama chake cha zamani, CCM, na alipoingia upinzani alisifia nini na kuiponda CCM kwa kiasi gani. Asifikiri kuwa watanzania wa sasa ni wajinga na wsahaulifu kama yeye. Wala asiwaone wasukuma wa maswa kama vimada vyake, wana akili na busara za kutosha, iko siku atalinywa

Something serious must be done to shadow this hypocratic shibuda, otherwise cdm should be ready to be tarnished every now and then. Man does not deserve to continue being in the rally of liberation.

Maswa mash na magh iko chini ya chadema, hii inatosha kutoa alert kwa shibuda na wanaomshabikia kwa upuuzi anaowafanyia viongozi wenzake wa cdm, ccm ilimtosa lyatonga na kumtaka arudi kilalacha akagombee ubunge alikataa sasa yako wapi? Shibuda alikataliwa sana ndani ya ccm akakimbilia cdm, appealing ya cdm ilimpatia sympathy ya umma sasa anawapa maadui zake walompinga ndani ya ccm nguvu na haki juu ya maamuzi yao, nidhamu ndio msingi wa kimjua mungu na umma. Dhahiri shibuda hana wasifu huo, acha atumie uhuru ndani ya bunge ila akithubutu nje ya mjengo ni red card

Sioni kubwa alosema Shibuda kuzua zahama lote hili. Much ado about nothing really.

Hakika Shibuda amezungumza kile kilichopo ndani ya Chaga Dema ! Mbowe amegeuza chama kuwa maslahi yake binafsi na kusahau kwamba kila anachopenda yeye sio maamuzi ya Chama bali ni utashi wake binafsi na Mkwe wake Mzee Mtei ambaye ndy mwanzilishi wa Chaga Dema. Wapo wabunge ambao hakika hawawezi na kamwe roho zao hazitavumilia kuona posho za wabunge zinaondolewa kwa kuwa hawana namna ya kupata pesa isipokuwa hizo posho kama vile SUGU, Mch MSIGWA , Mnyika, Mdee, nk. Ila kwa kuwa msemaji wa chama hiki ni Mbowe na ndy anayetoa kauli ya Mwisho na walio wengi wanaogopa udikteta wake ndy maana wataendelea kufyata mikia kama mbwa koko.

Wote mmeshuhudia Mbowe, Mfanyabiashara mkubwa wa Utalii jinsi alivyokuwa mstari wa mbele katika kuwatetea wawekezaji wa kigeni ktk sekta hii muhimu tofauti na ambavyo wengi wenu mmemzoea, hii inatokana na ukweli kwamba hapa ana maslahi makubwa yanayomfanya hata asihitaji posho za wabunge. Sasa SUGU wewe una nini ?

Mkuu wangu unamaanisha nini? Je, wewe unakubali posho hizi zitolewa kwa sababu hawa wabunge hawana njia ya kujipatia maslahi binafsi au kwa sababu Mbowe ana zipata sehemu nyingine!.. Come to the point..

Maswa mash na magh iko chini ya chadema, hii inatosha kutoa alert kwa shibuda na wanaomshabikia kwa upuuzi anaowafanyia viongozi wenzake wa cdm, ccm ilimtosa lyatonga na kumtaka arudi kilalacha akagombee ubunge alikataa sasa yako wapi? Shibuda alikataliwa sana ndani ya ccm akakimbilia cdm, appealing ya cdm ilimpatia sympathy ya umma sasa anawapa maadui zake walompinga ndani ya ccm nguvu na haki juu ya maamuzi yao, nidhamu ndio msingi wa kimjua mungu na umma. Dhahiri shibuda hana wasifu huo, acha atumie uhuru ndani ya bunge ila akithubutu nje ya mjengo ni red card

Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.

kabla ujasema point mek sur ni ukwel hujamuelewa Shibuda na mchana umefanya mpk wana cdm 2comment vbaya uchonganish c mzur
Elewa point sawa sawa,jibu point sawa sawa na utoe maoni sawa sawa c kubabaisha
Ni kwako na wote walio msoma wrong Shibuda

Tatizo la wafuasi wengi wa CDM ni kuwa wengi wanaongozwa na hisia kuliko uchambuzi wa mambo. Hii ndio inawafanya wengi washadidie kufukuzwa kwa Shibuda bila kutueleza sababu za msingi.Vinginevyo wafuasi wa CDM watueleze kuwa ukiwa ndani ya hicho chama hutakiwi kuwa na fikra tofauti na watu wawili watatu. Na kama hii ndio kweli basi hicho kitakuwa chama cha kijinga kabisa kuwahi kuundwa duniani. Na inabidi watu watambue kuwa, enzi za kulazimisha watu wote waabudu fikra na matakwa ya watu wachache zimeshapitwa na wakati. Nafikiri ndio maana hata uongozi wa CDM haujachukua maamuzi yanayoshinikizwa na watu wachache ya kumuadhibu Shibuda na hata Zito.

wakati ukombozi unahitajika kwa udi na uvumba hapatakiwi vikwazo vya aina yeyote kutoka kwa yeyote kokote, wakati cdm inajenga na kukuza uelewa wa wananchi wa tanzania, pia inajenga ushawishi tanzania ijikomboe, shibuda kuwa kikwazo, bora kufa kwa friendly fire, isisubiriwe enemy bullet (elewa mfano)

Hana lolote huyo ameishiwa sera sasa anaandaa chama kingine cha kuhamia.Maskini haja ya wizara ya utalii yeye anaongea mambp yake na chama.Ananikumbusha yale ya Mrema enzi zake, hana muda mrefu amechuja na atatokomea kwenye siasa huyu.

Leo ndio nimeamini John Shibuda, ni mtu wa shoka mpambanaji.
Kakataa kabisa kuwa Mateka wa Mbowe na a loser Dr Slaa, kawambia ukweli yeye kawekwa na wananchi wa Maswa sio viongozi wachache wa CDM walioweka mbele maslahi yao binafsi

Wakati Shibuda anaongea wabunge wote wa CDM walikuwa wapole kama wananyolewa, kwa kweli amewachana chana viongozi yeye aliyewaita viongozi maslahi ya CDM. Sidhani km huko dodoma leo hawa jamaa watalala, amewaumbua ile mbaya mpaka aibu !

Shibuda asipoteze muda kwa kutingisha kiberiti, achomoe njiti kabisa. Na kama hajui ni vipi achomoe hizo njiti, basi apate ushauri toka kwa wale madiwani wasaliti wa Arusha.

Kwa upande mwingine huyu Shibuda hajui atakuwa mgeni wa nani maana mabosi wake wako-busy na minyukano ya wao kwa wao. Na huku kuongea kwa sauti nadhani ni dalili ya kujipa moyo baada ya kujua amechemsha. Umamluki umechuja!

kwani bungeni ni sehemu pia ya kujadili matatizo ya watu na vyama vyao? Wabunge wote mnaofanya haya, Shibuda included mnatupotezea wakati....bah!

kweli shibuda kidume, si unajua tena mwanamume anapoongea watoto kike wote vichwa chini.

Hana lolote huyo ameishiwa sera sasa anaandaa chama kingine cha kuhamia.Maskini haja ya wizara ya utalii yeye anaongea mambp yake na chama.Ananikumbusha yale ya Mrema enzi zake, hana muda mrefu amechuja na atatokomea kwenye siasa huyu.

Inawezekana forum aliyotumia si sahihi ama ni sahihi. Sijui angesemea wapi haya maneno ili nasi tuyasikie? Angesema wakati anahojiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA ama angeitisha mkutano na waandishi wa habari? Iwavyo vyote mimi namheshimu Shibuda kwa ukweli wake ambao huwa hamezi maneno. Kwa hiyo CDM imfukuze Shibuda kwa kutofautiana na msimamo juu ya posho? Msimamo wa CDM juu ya posho ni upi? Ule ulikuwa msimamo wa Zitto na Mbowe (Hammer na Vogue) na haukuwa msimamo wa akina Shibuda, Mnyika, Sugu, Selasini, Mtema, Msigwa na wengineo wengi tu. Tatizo la Shibuda ni kwamba hakutaka unafiki ila wengine wamekaa kimya kinafiki tu.

si alipatikana kirahisi tu! utafahamuje kama katumwa? nimeamini sasa "KWENYE MSAFARA WA MAMBA NA MIJUSI WAMEJIPENYEZA SASA"

Shibuda anawapa ukweli na si mtu wa kuburuzwa na kampuni hilo hawalipendi.

Niliwaambia CHADEMA kuwa hakuna haja ya kumpa siku 90 Shibuda (kama magamba), just damp him and move on...

Kwa kweli CDM wameshaniudhi sasa. Ishu ya madiwani wa Arusha iliibuka nyuma kabisa ya upuuzi wa Shibuda, lakini ikashughulikiwa fastafasta. Wanamuogopea nini huyu? Bora hilo jimbo lipotee? Kwani CHADEMA haijiamini?

mh.kumbuka huyu ni mb, na anapokuwa ndani ya bunge sheria zinamlinda anatoa maoni yake

Back
Top Bottom