kiraia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 1,717
- 1,012
Hili limewashinda halafu eti mnataka kuongoza nchi, tunasema hamtaongoza kamwe !
Kwanini unashaladia sana huyu jamaa afukuzwe au una maslahi binafsi na Jimbo la Maswa!
Hili limewashinda halafu eti mnataka kuongoza nchi, tunasema hamtaongoza kamwe !
Umekuja kufanya nini sasa hapa, si ueleze mtazamo wako vinginevyo nenda huko kwenye vikao vyenuNimemsikiliza sana Shibuda tena kwa makini sana. Hili ni jambo linaloweza kuletwa kwenye vikao ambavyo mimi ni mjumbe. No comment for the time being.
Maneno yako na avatar yako vinaendana sana mkuu. Misukule tu ndo inaweza kusema haya.Tutamtoa na kanisani tutamtenga, tena Pengo alikuwa anaangalia bunge wala hawezi kusubiri ripoti ya padri Slaa kuchukua maamuzi.
<br />Kuhusu suala la lake la kuenguliwa kasema hamuogopi mtu kachaguliwa na wana Maswa.
Na ukichinja lazima nawewe uchinjwekumchinja kobe lazima ule timing!
si kwa namna ya huyu mzee - nimeamini kwa nini CCM walimwita MAKAPI aka left overs.It takes extra ordinary people to do extraordinary things. Sifa ya kiongozi thabiti ni kutokutabirika
Halafu Magwanda wakachukua makapi, siku nyingine mjifunze siyo kukurupuka tusi kwa namna ya huyu mzee - nimeamini kwa nini CCM walimwita MAKAPI aka left overs.
Mkuu unaweka habari nusu nusu.... ameponda viongozi wa kisiasa hasa wa Chadema kwa udhalimu, na maslahi binafsi.Amesema yeye hatishwi na Kamati Kuu na amewaonya waandishi wa habari wanaobeba maslahi binafsi ndani ya Chama. Wakati anaongea wabunge wa CDM walionekana wanyonge sana
Hakufai wewe Gwaje, hauwezi kuwa unatuwakilisha watanzania wote. Utakuwa unawakilisha tabaka dogo tu lenye mtazamo kama wako
Huwezi kuilaumu chadema kwa kumchukua Shibuda, CDM ni chama kinachokua na kinakubalika na wananchi. Unapofungua milango watu waje kujiunga na wewe kwa nia njema kabisa kwa bahati mbaya unaweza kupata na MAINZI, MENDE, MIJUSI na watu wenye akili timamu. Sasa hili la SHIBUDA siwezi kuilamu CDM kwa namna yeyote ile. yaani CDM ilipata GALASA kwa bahati mbaya bila kujua.Halafu Magwanda wakachukua makapi, siku nyingine mjifunze siyo kukurupuka tu