Chama cha kidini

acha kufikili kwa kutumia ****** jaribu basi kuishughulisha hata akili yako walau kidogo tuone uwezo wako.

Chama cha kidini
Basi kama mnaiga iwe ni kwenye masuala ya msingi. Tuambieni hoja ambayo ilikuwa imeamuriwa rasmi na CC ya CDM halafu Shibuda akapinga. Hamna sababu ya msingi zaidi ya uimla uliowajaaMtoto wako akikiuta mshenzi utamchekea kwa sababu unaogopa ukimwadhibu umamuiga jirani sio?
Little brain, ukiona mtu anakuwa mkali sana ujuwe ni ukweli

acha kufikili kwa kutumia ****** jaribu basi kuishughulisha hata akili yako walau kidogo tuone uwezo wako.
Basi kama mnaiga iwe ni kwenye masuala ya msingi. Tuambieni hoja ambayo ilikuwa imeamuriwa rasmi na CC ya CDM halafu Shibuda akapinga. Hamna sababu ya msingi zaidi ya uimla uliowajaa
hata wale madiwani wa Arusha walijitapa hivyo hivyo mwisho wa siku wakaishia kuzomewa. Nafikiri ni wakati mzuri kwa CHADEMA kuchukua maamuzi makini dhidi ya huyu jamaa. Tayari wananchi wa Arusha walishauliza juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya huyu jamaa. Ni dhahiri kwamba hata wananchi wa kawaida wamemchoka. Its high time for him to go now.

Utajaribu kutetea sana, ila haito saidia wengi tumemsikiliza labda ww mwenzetu radio yako ilikuwa haishiki bunge la Tanzania. nadhani utakuwa unasikiliza Radio somalia ndio maana
nchi ikiongozwa na mtu kama huyu ni balaa tupu - kiongozi kigeugeu, ndumila kuwili - anafanya vitu tofauti kabisa na umri wake.shibuda anataka uraisi tuu kama mnataka muahidini kugombea uraisi mwone kama hajatulia huyu jamaa tamaa itampeleka pabaya sana!
Sidhani kama hii hoja ina chembe yoyote ya ukweli. Kama kuna mtu aliyeingia na kuimarisha ngome ya CDM ukanda wa Kanda ya Ziwa hasa mkoa wa Shinyana ni Shibuda. Wale wabunge wote walipatikana kwa juhudi na ushawishi wa kipekee alionao Shibuda. Hebu mtwambie kwa nini mikoa kama Kigoma anakotoka Naibu katibu mkuu wenu Zito mmeambulia mbunge mmoja tu. Acheni udanganyifu, CDM si maarufu kuliko watu, kimsingi kuna watu kama kina Padri Slaa ambao ni maarufu kuliko MagambaHuyu Mzee aliingia CDM makusudi kwa kazi maalum, kujaribu kupandikiza chuki na kuweka makundi ili baadhi ya wanachama waone anaonewa hence kukigawa chama as a result. - ila bahati mbaya sana hakuijua chadema vyema kwamba wanafikiri wa kutumia ubongo na yeye anatumia masaburi.
They dont have the guts kwa sababu wanajua implication ya uamuzi wowote wa kijinga watakaoufanya dhidi ya Shibuda. Maamuzi yao magumu ni kwa madiwani tu na ambayo nayo yamejaa uonevu mtupu. Magwanda=Uongozi wa KiimlaPlease'
Huyu bwana navyomfahamu ni kwamba anatafuta sifa za kijinga CHADEMA tafadhalini chukuweni maamuzi magumu kabla hajaendelea na ujinga wake.Dump him quickly na jimbo hilo tutalichukuwa tena
Basi kama ni hivyo CDM ni chama cha hovyo sana, mtu mmoja mnamtengenezea mkakati kwa mwaka mzima? Je tukiwaambia watengeneze mkukuta wa nchi nzima si watamaliza karne. Magwanda bwanamkuu nina imani kabisa cdm watakuwa wanampangia mkakati wa kum-teach lesson, anavyosema hatishwi na chadema anadhani chadema watishwa naye, chadema ni organization na yeye is just one individual kwenye hiyo organization, what do you expect hapo, dawa yake inashachemka bado kuipuliwa tu.
Nakusoma kaka, lakini hiki chama cha Wachaga hakina demokrasia ya kweli. Ili uheshimike ndani ya Magwanda lazima ukubaliane na mawazo yote ya Ndensamburo na Josephine. Angalau ufikiri kwa makalio kuliko kufikiri kwa magwandaNdugu zangu hata mapacha wanafanana lakini sio kwamba wanaweza kufanana na mawazo..kuwa ndani ya chama haimaniishi mtu asiwe na mawazo yake binafsi kama tunakubali demokrasia basi tukubali mpaka kwenye vyama vyetu huu mfumo wa kidemokrasia uweze kutumika..alichokifanya Shibuda si kwamba ni makuosa katika mfumo wa demokrasia ..yeye ametoa maoni yake kwaiyo tumpinge kwa hoja na si kwa hisia..
It takes extra ordinary people to do extraordinary things. Sifa ya kiongozi thabiti ni kutokutabirikanchi ikiongozwa na mtu kama huyu ni balaa tupu - kiongozi kigeugeu, ndumila kuwili - anafanya vitu tofauti kabisa na umri wake.
Unatafsiri moja tu kama staili ya bata, hahahaShibuda aichana chana CHADEMA, hivi chadema ni nguo, karatasi au kitu gani mpaka ichanwechanwe??? ma great thinker wanaotumia MASABURI BANA......
Magwanda =C.R.A.P