Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Huyo Shibuda siku zake zihesabiwa, labda ajirekebishe vinginevyo naye akae tayari, CDM NDIO HAWAOGOPI MTU KABISAAAA!!!!!!!!!!! Kama alipotea njia hiyo shauri yake, atarudi kwa Wanamaswa wamchague kwa tiketi ya chama kingine, atatemwa CDM haitavumilia watu viburi!!!!!!!!!!!Mkuu unaweka habari nusu nusu.... ameponda viongozi wa kisiasa hasa wa Chadema kwa udhalimu, na maslahi binafsi.Amesema yeye hatishwi na Kamati Kuu na amewaonya waandishi wa habari wanaobeba maslahi binafsi ndani ya Chama. Wakati anaongea wabunge wa CDM walionekana wanyonge sana