GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Ndg yangu Douglas ni kweli unachosema, hawa CCM ni hodari wa kampein za propoganda, kama Shibuda ana akili asiwasikilize watamuua. Akumbuke kifo cha Chacha Wangwe walianza hivi hivi!!!!!!!!!! Wana CDM, viongozi na Mh Shibuda chunga saana akumulikaye mchana usiku atakuchoma!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msikose mbaazi mkasingizia jua, haya ni ya kwenu CDM yamalizeni wenyewe, jamaa anaonekana kuwazidi kete sana ! poleniiiiiiiii