makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Na kweli aisee, Km Mh. WASHWA WASHWA vile anatutetea ili vyakuwashwa vikunwe au sio ?
I agree with you, it seems CDM wamekuwa-ambushed na really they seem like surrendered.They must retreat and return to their normal standard we used to see them.Mnyika usikubali kutekwa nyara kama timu ya taifa Italy a.k.a Azzuri dhidi ya spain,mtapigwa mabao.Tadhali tundu lissu, Mbowe na wengine achaneni na hoizo propaganda za ccm.kUANZIA BAJETI itakyofuata tunawaomba sisi wananchi mrudi ktk mstari, tunahitaji mthibitisha kuwa you always deserve to be frontliners in critical issues.
naomba maoni ya wadau kuhusu kauli za jana za wabunge wa CCM wakati wa kikao cha jioni.
wapuuzi wote wale; hakuna haja ya kupoteza muda kuwajadili.
Wakati Bunge lilipokuwa halina vijembe nini kilifanyika ambachoBunge letu sasa limegeuka uwanja wa vijembe na kutupiana lawama, nawasihi wabunge wafuate kilicho wapeleka Dodoma.