DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
mgimwa+wasira=wabunge wote wa chadema na wanachama wao. Leo mnathibisha hilo
wote ni failure...no victory under ccm govern..
mgimwa+wasira=wabunge wote wa chadema na wanachama wao. Leo mnathibisha hilo
Mgimwa: serikali iwezeshe mipango ya ajira kwa vijana, msimamo wa serikali ni kwamba, serikali itachukua hatua za kisera kupitia sekta binafsi pamoja na kuwekeza kwa elimu ya ujasiriamali. Serikali imeongeza mabenki toka 43 april 2011 hadi 43 april 49 2012.
Hapo kwa Mgimwa JK kapata jembe..
Huyu Mgimwa kumbe anaweza eeh.
wabunge wachadema wamekunwa hadi wanapiga vigelegele
Serikali imekubali kuongeza kodi ya mafuta ya kula toka nje, ili kulinda viwanda vya ndani
Conflict of interest: ABOOD mbunge wa CCM morogoro ndio anamiliki kiwanda cha mafuta ya kupikia.
hizi benk jaman zimejaa dar,,,,,kama shule za kataMgimwa: serikali iwezeshe mipango ya ajira kwa vijana, msimamo wa serikali ni kwamba, serikali itachukua hatua za kisera kupitia sekta binafsi pamoja na kuwekeza kwa elimu ya ujasiriamali. Serikali imeongeza mabenki toka 43 april 2011 hadi 49 april 49 2012.