Mkuu naona siasa imekupita mkono wa kushoto, Mhe. Kafulila siyo mbunge wa CDM, ni mbunge kupitia NCCR-Mageuzihizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
Wengine huwa wanameza piliton....Ccm huwa hawana akili waikingia bungeni yaani wanalewa gafla sasa wabu wawili watatu wa upinzani wanawapeleka puta tutakapo kuwa 200 ndo watajua who run ths country
Inaelekea CCM ndo inakuweka mjini, wewe na CCM yako hiki ndicho kipindi chenu cha mwisho KUIBA. Comes new Katiba wewe na CCM yenu tutawaacha mnaoza by the road side. wezi wakubwa nyinyihizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
Kaka mimi ni MPENDA HAKI kama wewe!, Hiyo CCJ mshirikishe nayo NAPE! Ha ha ha haaaaaaa.....!!!!!!!kwani wewe CCJ?
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
Huyo ni mpiga debe wa kariakoo achana nae.Mkuu naona siasa imekupita mkono wa kushoto, Mhe. Kafulila siyo mbunge wa CDM, ni mbunge kupitia NCCR-Mageuzi
Edson, sote tunajua kuwa Sita sio kilaza. Tunafahamu uwezo wake wa kumudu mambo. Shida hapa ni moja kuwa ukiwa CCM ni lazima ukubali kuwa mnafiki. Ijumaa alipokuwa nanazungumzia muungano yeye kama kaimu kiongozi wa shughuli za serikali bungeni alisema: "Ninayoyasema siyo ninayoyaamini mimi kama mimi ila hii ndiyo historia. ..." Kwangu mimi, hapo alimaanisha anasema kwa vile yuko huko.
Mwangalieni mtoto wa mkulima alivyochuja ... Ni sababu ya kutaka kutetea mlo kwenye sahani. Ili hilo lifanikiwe ni lazima uwe mnafiki wa nafsi yako mwenyewe.
Ikibidi wapimwe kabla ya kikao kuanza,..mie nahisi ni whysk za usikuWengine huwa wanameza piliton....
m typin ths with my middle finger... Fool, u nd to shtup smtm..hizo ni kelele za wapumbavu wa cdm, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. Ccm ndio dume lenu nyie.