Bunge: Taarifa za Wabunge wasiopata chanjo kutoruhusiwa Bungeni hazina ukweli

... kikao kinaanza na kwa ucheshi as tunavyomfaham Job, "leo waheshimiwa wabunge naomba tufanye jambo moja kabla ya kuanza kikao chetu, wale wabunge walichanjwa wakae upande huu na ambao hawajachanjwa kaeni kuleeeee...
 
Wachanjwe tu wote, hakuna namna,
Vinginevyo hakuna safari za nje, na ni nani hataki kwenda nje? Kikazi lakini
 
Back
Top Bottom